Diamond platnumz aanika kijiji chake alichojenga

Diamond platnumz aanika kijiji chake alichojenga

Binamu hata kuniita jamani

Ushamuona Huyu kishumundu et tumsifie Wema,tumsifie domo hata kwenye upuuz tusifie
Nishasema hivi kwenye mambo ya maana ntasifia kwenye upuuz napoonda anaekabwa anye nimnunulie pampers nyambafu zenu
 
Ndo maana mama ubaya hatak kuondoka kwa ndomo, maana kashafukuzwa nasikia mara kibao ila bibie hatak kuondoka kumbe anamendea mjumba ndio maana kutwa analilia ndoa mfyuuu mamaee

Na badooooo atajigonga mpaka akomae hajui umri unaendaaa
 
Ndo maana mama ubaya hatak kuondoka kwa ndomo, maana kashafukuzwa nasikia mara kibao ila bibie hatak kuondoka kumbe anamendea mjumba ndio maana kutwa analilia ndoa mfyuuu mamaee

Anataka akambane bane mama chibu ngoja nijambe mie ptyeeeereeeee
 
Sujakulewa binamu, wema anatuponda na simu zetu za huawei na hiyo nyumba ya ndomo vinahusianaje?

hayo maneno angesema ndomo ambaye tunajua ana fight sio huyo malaya wa jiji, anayehongwa hadi simu

nimemjibu kutokana na post yake kuwa Huawei inashindwa ku upload

naona ka umepanick tu hapa binamu wakati nothing was serious.....
 
Hivi unakijuwa kijiji we kijana au domo ni ndugu yako umeamua kumpa kiki tu?
JK mwenyewe pale chalinze hata kijiji itakuwa Domo?punguza uongo
Duh... man naona ume-panic ile mbaya!
 
mtaumwa sana msiotaka maendeleo ya the BOSS DIAMOND PLATNUMS na BAHATI MBAYA dawa HAKUNA!...KIMBIZA HAOOO!!
 
Watu hawamuombi msamaha watu wanampuuza uyo lusungo coz ni wakuja fulani halafu amebahatisha uhakika wa mshahara kila mwisho wa mwezi so anaona ameshafika climax fulani ya maisha.

Kuna siku nilimwona jukwaa la elimu anashindana na watoto chuo gani ni best bongo anatukana watu kinoma huko.

Nikaja kumuona tena jukwaa la kazi anatukana watoto wanaotafuta kazi ndio nikamwelewa yule mshamba amebahatisha kuja mjini hakuwai hata kuota.

Hahahahaha boss umetishaa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom