Diamond Platnumz aburuzwa Mahakama ya watoto na Hamisa Mobetto!

Hii ndio Diamond anataka. Mahakama itatoa amri ya kutoa sh 100000 kwa mwezi. Kwa miaka saba
 
Mi najiandaa siku hiyo ya kesi navaa tshirt yangu ya WCB nakaa mbele kabisa. Ili kila picha ya mapaparazi nitokee
 
Siyo assumption hii mkuu.....mimi kama Diamond namchukua mwanangu alelewe na bibi yake ama Zari na mimi mwenyewe ila si kwa Hamisa na nakata kabisa mawasiliano naye. Changu haendekezwi hata siku moja, wao ni kuharibu ndoa za watu tu.
Pitia sheria za mtoto vizuri utagundua kuwa baba hawezi kumchukua mtoto mchanga kama huyo kwa mama yake mpaka aidhibitishie mahakama vitu kadha wa kadha ambavyo kwa haraka-haraka Mobeto hawezi kupokonywa mtoto kamwe.
 
Child Support ipo kwa kwaajili ya wasanii au kwa watanzania wote?

Wale wadada wanaopigwa mimba na baba kusepa haya sasa Mmeonyeshwa njia...
 
Jamani nisaidieni JUVENILLE COURT kwa mimi nielewavyo, ni mahakama zinahosika na kesi ambazo watoto au vijana wadogo ndio washitakiwa.
 
Ndio tatizo la kudate na ma gold diggers.
 
Daimond futa hii kesi,itakucost kimataifa,watu hawataki kuskiaga umewaneglect watoto wako..............................ifute mapema kabla haijaenea duniani.....................
Finally u have said the bitter truth
 
du! kama anampenda dai na huku tena mahakamani ili penzi limekaaje tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…