BILLY ISISWE
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 2,666
- 1,053
Hii ndio Diamond anataka. Mahakama itatoa amri ya kutoa sh 100000 kwa mwezi. Kwa miaka saba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pitia sheria za mtoto vizuri utagundua kuwa baba hawezi kumchukua mtoto mchanga kama huyo kwa mama yake mpaka aidhibitishie mahakama vitu kadha wa kadha ambavyo kwa haraka-haraka Mobeto hawezi kupokonywa mtoto kamwe.Siyo assumption hii mkuu.....mimi kama Diamond namchukua mwanangu alelewe na bibi yake ama Zari na mimi mwenyewe ila si kwa Hamisa na nakata kabisa mawasiliano naye. Changu haendekezwi hata siku moja, wao ni kuharibu ndoa za watu tu.
Yani pesa za matumizi mama akazitafute kwa wakili wa baba wa mtoto??Kaambiwa awasiliane na wakili wake.. labda kaona wakili hana dushe la kumpa mtoto anataka awasiliane na mwenyewe eeeeh
Wanaangalia kipato cha baba kwa mwezi-% kadhaaHii ndio Diamond anataka. Mahakama itatoa amri ya kutoa sh 100000 kwa mwezi. Kwa miaka saba
MganeTararibu usije RIP, ukaacha mjane tafadhali. (Hivi mwanaume aliyefiwa na mkewe anaitwa mjane?)
Kibolo dinda anajutaaa. Kapatikana safari hiiDiamond kaingia cha kike, sio kila mwanamke ni wakuzaa nae.
Kama hapeleki atakua mbulula kiwango cha lemutuz kukimbia jukumu wakt uwezo unaona ni upopomaSasa mbona hata hizo 70000 hapeleki???
[emoji2] [emoji2] [emoji2] watu wanamsakama mnoo km ye ndo wa Kwanzaa vile kaahh!Teh madame bana, hamisa ana ugumu leo?
Sio bongo hiyo yule mbunge wa zenji alimtelekeza mtoto mlemavu ustawi wakamwambia atoe 250000 kwa mweziWanaangalia kipato cha baba kwa mwezi-% kadhaa
Ndio tatizo la kudate na ma gold diggers.Mwanamuziki Diamond Platnumz amepelekewa wito wa kuitwa mahakama ya watoto na mzazi mwenzake, Hamisa Mobeto kwa madai ya kushindwa kumuomba radhi na kutoa matunzo ya mtoto.
Mwanamuziki Diamond Platnumz amepelekewa wito wa kuitwa Mahakama ya Watoto na mzazi mwenzake, Hamisa Mobetto kwa madai ya kushindwa kumuomba radhi na kutoa matunzo ya mtoto.
Wito huo wa Diamond umewasilishwa na mawakili wa Mabetto, Abdullah Zulu na Walter Godluck kutoka Kampuni ya Uwakili ya Century Attorneys.
Katika wito huo Diamond Platnumz anadaiwa kumdhalilisha na kutompa matumizi ya mtoto kwa takribani miezi miwili.
Wakili Zulu akizungumza na Gazeti la Mwananchi leo Alhamisi amesema mteja wao Hamisa Mobetto alimtumia Diamond notisi ya kumuomba radhi na kumtaka apeleke matunzo ya mtoto ndani ya siku saba.
“Baada ya kuona kimya tulipeleka kesi katika Mahakama ya Kisutu upande wa watoto (The Juvenile Court Of Dar es Salaam) na leo(Alhamisi) tumepewa barua ya wito na tayari mwanasheria wa mwanamuziki huyo ameipokea,” amesema.
Zulu amesema kesi hiyo itaanza kusikilizwa Oktoba 30, mwaka huu.
Finally u have said the bitter truthDaimond futa hii kesi,itakucost kimataifa,watu hawataki kuskiaga umewaneglect watoto wako..............................ifute mapema kabla haijaenea duniani.....................
Hivi uliwahi kuwaza kama mimba yako ingechomolewa tungechat na nani hapa sasa hivi?Ndo madhara ya kuzaa na mademu waswahili wenye njaa njaa...hawa mademu wa uswahilini ni muhimu kutumia ndomu na akiwa na mimba yako mpe elfu 40 akaichomoe tu bora nusu shari kuliko shari kamili
Mahakama ya watoto ni chumba kilichotengwa ndani ya mahakama kwa swala la kusikiliza kesi za watoto tuuMahakama ya watoto ndio iko wapi?