Diamond Platnumz aburuzwa Mahakama ya watoto na Hamisa Mobetto!

Daimond futa hii kesi,itakucost kimataifa,watu hawataki kuskiaga umewaneglect watoto wako..............................ifute mapema kabla haijaenea duniani.....................
kwani nani kaifungua?
 
Unaongea na diamond nini?
 
Ndio wanaume mjue kuna wanawake ni vidudu mtu..na mashetani....msikimbilie kimbilie tu kulala nao...wengine wana nuski na magundu...sasa huyi diamond ukicheche wake utamtokea puani...
Tembeen na watu wenye akili...
Hamisa akili hana..kazi hana..biashara hana...ana uchi tu
 
m ngoja ntulie tuliiiiii
natoa lak2 kwa mwezi na mtoto namlipia ada

baba kama unaakili hautapenda mwanao apate shida so somtym nazidishaga iyo ela ili tuu mwanangu aishi maisha mazuri asiwe mshamba

sio toto hadi linabalehe haljui computer ni nini English anajulia ukubwani

so wewe na 70 yako it's okay na mimi na lak2+ it's okay pia ila watoto hawatakuja kufanana n'goo!!!!!
 
nawaza ingekuaje kama hamisa angekua na miaka 15 katika hii issue
 
Kuitwa mahakamani ni jambo la kawaida, ila kushindwa na kishinda ni jambo lingine...cjuh kama kupelekana mahakamani ndo litapatikana suluhisho.....
 
Diamond akome, wanaume mna la kujifunza
Vimwanamke siku hizi mimba ni kitega uchumi
La kujifunza hapo ni aina ya mwanamke wa kubeba ukiangalia uzuri tu utaumia, huu mchezo hata huku mitaani upo sana,
Unakuta umejenga upo na mke wako alafu kuna bar ya jiran umezoea kunywa hapo,
Utakuta kuna vibinti vinajipitisha hapo ni balaa na ni majirani na mkeo wamfahamu sasa wewe jidanganye useme nimependwa upite naye hata mara moja,
Ujue mimba inakuhusu na hawatoi yaani unaweza tamani kuhama mtaa na umejenga!
 
Hamisa amuulize Wema maana analijua balaaa la Domo...

Domo hatoagi hata mia anapenda maku za bure kigezo kikiwa ni ndoa na haoi!

Alimnyonyolesha Wema upara na kumvalisha madera ili tu asinunue Mawigi ya malaki na vitopu vya Gucci
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] aiseee mnajua mengi nyuma ya pazia!
 
Kaka mi nattommbeaga mbali hukooo. Pia nina chumba tabata ikibidi ndo namuambia hapo ndo kwangu.
 
Nyie ndio washauri wa Hamissa?,mbona 70 yake kwa mwezi ipo pale pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…