Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Hata kama unaita watu majitu, na wewe hujui lolote!!! Child Support is for basic living requirement of the child! However, hii pia inaendana na uwezo wa mzazi anayetakiwa kulipa!!Upo sahihi sana kiongozi kuna mijitu haielewi kitu kazi kupayuka tu mondi kaingia choo cha kike
Take home message hapa kwetu sisi ME, ni tutuzenze watoto wetu, siyo kuwatia mimba mabinti halafu tunatokomea. Nchi za magharibi zinautaratibu mzuri sana kwani Baba hawezi kukimbia majukumu yake ya kifedha ya kutunza watoto wake. Lakini pia kutunza watoto siyo pesa tu, kikubwa pia ni ku spend quality times with our progenies.
Hahaha!! We Tina wewe!!! Wanafanyaje wapi?! Huko magharibi?! Si we mwenyewe ndie ulinipa link ya UK; au UK siku hizi ipo mashariki!!! Au hapa hukusoma:Mkuu huko Magharibi wanafanyaje kuyadhibiti haya mabazazi????
huyu Dai aseme kama alikua anataka kumuoa Hamisa,na mambo yametokea soo quickly mpaka anashindwa kudecide,,,,,,,,,,,,,,
Maanake haingii akilini KWA NINI HAKUTUMIA KINGA?
Huko nako mechi za mchangani zinazozalisha watoto ni kedekede!! Kwahiyo hakuna kwamba eti alitaka kuoa wala nini! Wamekubaliana wafanye uzinzi; wakafanya uzinzi kama ambavyo Hamisa alivyokuwa amefanya na Majizo nako akapewa kitu; akapigwa chini; sawa na walivyopigwa chini hao 40% ya UK!!!!The most recent statistics available suggest that 40.6 percent of all births in the UK are to unmarried parents.
Hahaha!! We Tina wewe!!! Wanafanyaje wapi?! Huko magharibi?! Si we mwenyewe ndie ulinipa link ya UK; au UK siku hizi ipo mashariki!!! Au hapa hukusoma:Huko nako mechi za mchangani zinazozalisha watoto ni kedekede!! Kwahiyo hakuna kwamba eti alitaka kuoa wala nini! Wamekubaliana wafanye uzinzi; wakafanya uzinzi kama ambavyo Hamisa alivyokuwa amefanya na Majizo nako akapewa kitu; akapigwa chini; sawa na walivyopigwa chini hao 40% ya UK!!!!
Likishatokea kama liivyotokea sasa, mnakaa chini mna-settle kiutuzima! Msipokubaliana kama hayo ya kutaka 5 Million wakati yeye mwenyewe kipato chake hata 2M hakifiki, kinachofuata taratibu za kisheria; simple usubiri 200K from a good dad!
Who drafted this document ? its look like inefective to me
ππππππππππππKingereza kilikuja na meli kweli aisee
Hivi unajua kwamba umerudi na kanga mpya ππππ!!!!link niliyokupa ni ya UK ndio,lakini magharibi wengi inafahamika ni ughaibuni,na nchi kibao zinaunda ughaibuni
Ningependa kujua hizo nchi nyingine zina deal vipi na mabazazi,
kwenye swala la kulipa maintenance unajidai ni sheria za uk,tusilifuate ila likija la unplanned pregnancy,unaniletea statistics za huko huko UK,
Acha ujanja janja,
Any way,hio sheria ya 70,000 kwa mnaoijua,ilianza lini?
mie nilisema hii ishu itamcost Dai's reputation,
some of his Fans hawatakua happy,kumuona anatoa elfu sabini kwa mtoto kwa wakati anaingiza millions
Jamaa kwa kuongeza sifuri hajamboKavimba juzi kifua kwenye media mara laki saba kwa wiki mara rava
4 sasa ngoja zari achekelee
Mkumbushe, hii inaitwa JF, for great thinkers and critically analysis, tatizo larudi tena kupenda kusoma, hatuna tabia ya kujisomea kabla ya kubisha, hatutaki kujuwa sheria zetu zimekaaje kabla ya kubisha na kubeza, twendeni Library, tusome katiba, tusome vitabu vyote vinavyoweza patikana, hasa bure, vipo, tukiuliza tutaambiwa viko wapi...Pitia Sheria ya Mtoto ya Mwaka 2009 halafu rudi hapa!!!
Nawewe umeona alisema stamina tukajua wanaigiza kumbe ni kweliJamaa kwa kuongeza sifuri hajambo
Mbeto akisoma hii comment lazima atajua hesabu zakeWatu wengi hawajui sheria inasemaje. Hamisa ameshauriwa vibaya. Asijidangaje sheria itapindishwa apewe milioni kwaajili ya matunzo kwa mwezi. yeye sio mke ni Incubator tu hivyo Mali za diamond hazimuhusu kabisa. Atajikuta anapewa 40000 kwa mwezi + hela ya usumbufu na kuanzia maisha kama m2 au 3 hivi. Diamond itakua wajanja wamemfungua akili aache ungese kutoa laki 5 kulea mtoto kumbe hela zote mwanamke ananunulia madera.
Kweli ww ni tofali....sasa huyo mbeto akiona hii commentNdio wanaume mjue kuna wanawake ni vidudu mtu..na mashetani....msikimbilie kimbilie tu kulala nao...wengine wana nuski na magundu...sasa huyi diamond ukicheche wake utamtokea puani...
Tembeen na watu wenye akili...
Hamisa akili hana..kazi hana..biashara hana...ana uchi tu
Mbona hapeleki au Hamisa hataki anataka 5M !!!
Labda kama mtoto anakunywa maziwa ya dhahabu!hakuna mwanasheria mjinga anayeweza kwenda mahakamani kumsimamia mtu anayedai ela ya matumizi million 5 labda kama ni gharama za kesi na usumbufu. cheki vizuri na hiyo source yako.
Ameona hazitoshi anataka 5M kwa mwenz yuko kibiashara zaidiInamana hata zile laki mbili hapewi tena? Au anaona hazitoshi?
Hivi unajua kwamba umerudi na kanga mpya ππππ!!!!
Halafu unanionea na wewe mwenyewe unafahamu unanionea! Au seriously ulitaka tuhukumu kesi ya Hamisa kwa kuangalia sheria za UK?! Btw, unazungumzia ubazazi upi? Hivi unafahamu Hamisa is at least 25?! Kwahiyo kama ni ubazazi basi hata yeye ni bazazi mzinifu na inaonekana anatumia uzinifu kuzaa ili ageuze watoto mtaji!!!!
Kwamba Diamond itam-cost; hakuna kitu kama hicho!!! Tanzania kila ko
Hivi unajua kwamba umerudi na kanga mpya ππππ!!!!
Halafu unanionea na wewe mwenyewe unafahamu unanionea! Au seriously ulitaka tuhukumu kesi ya Hamisa kwa kuangalia sheria za UK?! Btw, unazungumzia ubazazi upi? Hivi unafahamu Hamisa is at least 25?! Kwahiyo kama ni ubazazi basi hata yeye ni bazazi mzinifu na inaonekana anatumia uzinifu kuzaa ili ageuze watoto mtaji!!!!
Kwamba Diamond itam-cost; hakuna kitu kama hicho!!! Tanzania kila kona watu wamezaa nje ya ndoa including mawaziri, wabunge, majaji na mahakimu!!!! Na haya mambo, utashangaa hata hakimu wa kesi nae unakuta nae amepiga mimba nje ya ndoa au amezalishwa nje ya ndoa?
But trust me, majority watamwelewa Diamond kwamba alitaka wafanye kimya kimya for the sake of his family!!! Ni watu wajinga kama Mobetto ndio hawajali about other people's family! No wonder hata Majizo nae alimbwaga na ataendelea kubwagwa kila siku!!!
Kuhusu sheria ya 70K, technically sheria haijataja kiwango lakini mara kwa mara hicho ndicho kiwango kinachotolewa!!!
Sheria ni ya mwaka 2009 ambapo kiwango kitategemeana na gharama halisi za matunzo pamoja na kipato cha wazazi wote wawili!!!
Sasa wanaposema inategemea na kipato cha wazazi haina maana kwamba kama baba anaingiza bilioni 50 kwa mwezi basi child support atoe 200 million; hell no!!!!
Ni kwamba, kama gharama za matunzo ni 500K na baba uwezo anao basi itabidi awe anatoa 500K. Lakini hata kama gharama halisi ni 500K lakini uwezo wa baba ni 25K, basi ipo itatolewa 25K.
So, kama Hamisa na wakili wake wakiweza ku-prove kwamba gharama halisi ni 5M na Diamond anao uwezo wa kulipa hiyo 5M; basi Hamisa atapewa hiyo 5M!
REMEMBER: Hata TRA walidhani pesa ya Chibu inatoka kirahisi rahisi tu wakaenda na makadirio yao ya kodi milioni mia ngapi sijui!!!!! Kama wamezipata, ni Mungu mwenyewe ndie anajua!!!!
HAHAAAAA gharama za matunzo ni milioni tano,sio chini ya hapo mkuu,tunatofautiana mwingine ananyonyesha na kuvalisha nepi mwanae gharama inakua ndogo,na wengine wanawapa maziwa watoto ya chupa na kuvalisha Diapers,nimeiweka hii topic kwenye kumbukumbu,nataka nikuone utakapoambiwa DAI atalipa million tano kwa mwezi,jinsi macho yatakapokutoka pima,lol
sijasema utumie sheria za UK kwa kesi ya Hamisa ila ni wewe ndie uliesema hicho kitu cha maintenance kwa mama kutoka kwa baba,hakipo,jambo ambalo si kweli,
Am sure maisha yamepanda from 2009 au???kulipa kiwango hicho si fea,
OUT OF TOPIC KWA WANASHERIA MNISAIDIE;kwa mfano HAMISA anaweza kukata rufaa kama hajaridhika na hukumu iliyotolewa????je anaweza kwenda kimataifa???................mpaka akome,lol
hili saga la kumcost DAI wewe mpoteze mwenzio,kuna masingle maza na wale waliotoa watoto kawapoteza tayari....
na huko kimataifa anakotaka kupeleka mziki wake,ajue kuwa watu wana macho,hizi ishu za kutotaka kuwajibika zinaweza zisionekane impact yake sasa hivi,ila in long run itakuja kueleweka tu....................sijazi maneno TIME WILL TELL................................Lets give it time
Acha bhana! Kwahiyo kumbe hiyo child support ni zaidi ya 5 Million kwa mwezi??!!! Are you serious?! Kabisa unaamini kuna mahakama inayoweza ku-grant hiyo amount (na zaidi) for child support?!hakuna mwanasheria mjinga anayeweza kwenda mahakamani kumsimamia mtu anayedai ela ya matumizi million 5 labda kama ni gharama za kesi na usumbufu.
cheki vizuri na hiyo source yako.