Diamond Platnumz aburuzwa Mahakama ya watoto na Hamisa Mobetto!

Diamond Platnumz aburuzwa Mahakama ya watoto na Hamisa Mobetto!

Wale wanaume waliolengeshwa humu JF tunaomba msiogope sheria wala nini mkiitwa, nendeni mkayamalize kule, itasaidia kuwapa akili wanaotumia viungo vya mwili wao kama silaha kama sio mtoto...
 
Upo sahihi sana kiongozi kuna mijitu haielewi kitu kazi kupayuka tu mondi kaingia choo cha kike
Hata kama unaita watu majitu, na wewe hujui lolote!!! Child Support is for basic living requirement of the child! However, hii pia inaendana na uwezo wa mzazi anayetakiwa kulipa!!

What does it mean! Kama gharama kamili ni 500K, baba hata kama anaingiza 500 Billion bado atalipa 500K. In contrally, kama baba kipato chake ni kidogo, basi hata kama gharama halisi ni 500K hawezi kulazimishwa kulipa 500K. And ofcourse, inategemeana na lifestyle ya wazazi!

But, hiyo lifestyle inategemea! Kwa watu waliokuwa wanaishi pamoja, assumption ni kwamba, endapo wasingetakana basi lifestyle yao ndiyo ambayo ingekuwa ni lifestyle ya mtoto!!!

Sasa haiwezekani Hamisa hajawahi kwenda hata Nairobi for vacation halafu adai vacation cost to Dubai iwe included kwenye child support!!!

Nyie wengine mnachanganya na kesi za celebrities hususani wa US mnazozikikia kwenye media!! Na hata huko, bado pia inategemea na mazingira na ndio maana hakuna uniform amount!!!!

Pitia Sheria ya Mtoto ya Mwaka 2009 halafu rudi hapa!!!
 
Take home message hapa kwetu sisi ME, ni tutuzenze watoto wetu, siyo kuwatia mimba mabinti halafu tunatokomea. Nchi za magharibi zinautaratibu mzuri sana kwani Baba hawezi kukimbia majukumu yake ya kifedha ya kutunza watoto wake. Lakini pia kutunza watoto siyo pesa tu, kikubwa pia ni ku spend quality times with our progenies.
 
Mkuu huko Magharibi wanafanyaje kuyadhibiti haya mabazazi????

huyu Dai aseme kama alikua anataka kumuoa Hamisa,na mambo yametokea soo quickly mpaka anashindwa kudecide,,,,,,,,,,,,,,

Maanake haingii akilini KWA NINI HAKUTUMIA KINGA?
 
Hahaha!! We Tina wewe!!! Wanafanyaje wapi?! Huko magharibi?! Si we mwenyewe ndie ulinipa link ya UK; au UK siku hizi ipo mashariki!!! Au hapa hukusoma:
The most recent statistics available suggest that 40.6 percent of all births in the UK are to unmarried parents.
Huko nako mechi za mchangani zinazozalisha watoto ni kedekede!! Kwahiyo hakuna kwamba eti alitaka kuoa wala nini! Wamekubaliana wafanye uzinzi; wakafanya uzinzi kama ambavyo Hamisa alivyokuwa amefanya na Majizo nako akapewa kitu; akapigwa chini; sawa na walivyopigwa chini hao 40% ya UK!!!!

Likishatokea kama liivyotokea sasa, mnakaa chini mna-settle kiutuzima! Msipokubaliana kama hayo ya kutaka 5 Million wakati yeye mwenyewe kipato chake hata 2M hakifiki, kinachofuata taratibu za kisheria; simple usubiri 200K from a good dad!
 
Hahaha!! We Tina wewe!!! Wanafanyaje wapi?! Huko magharibi?! Si we mwenyewe ndie ulinipa link ya UK; au UK siku hizi ipo mashariki!!! Au hapa hukusoma:Huko nako mechi za mchangani zinazozalisha watoto ni kedekede!! Kwahiyo hakuna kwamba eti alitaka kuoa wala nini! Wamekubaliana wafanye uzinzi; wakafanya uzinzi kama ambavyo Hamisa alivyokuwa amefanya na Majizo nako akapewa kitu; akapigwa chini; sawa na walivyopigwa chini hao 40% ya UK!!!!

Likishatokea kama liivyotokea sasa, mnakaa chini mna-settle kiutuzima! Msipokubaliana kama hayo ya kutaka 5 Million wakati yeye mwenyewe kipato chake hata 2M hakifiki, kinachofuata taratibu za kisheria; simple usubiri 200K from a good dad!

link niliyokupa ni ya UK ndio,lakini magharibi wengi inafahamika ni ughaibuni,na nchi kibao zinaunda ughaibuni

Ningependa kujua hizo nchi nyingine zina deal vipi na mabazazi,

kwenye swala la kulipa maintenance unajidai ni sheria za uk,tusilifuate ila likija la unplanned pregnancy,unaniletea statistics za huko huko UK,

Acha ujanja janja,

Any way,hio sheria ya 70,000 kwa mnaoijua,ilianza lini?

mie nilisema hii ishu itamcost Dai's reputation,

some of his Fans hawatakua happy,kumuona anatoa elfu sabini kwa mtoto kwa wakati anaingiza millions
 
Wanawake siku hizi ni wajasiriamali kupitia mtaji wa watoto kwaiyo wanaume tuwe makini.
 
link niliyokupa ni ya UK ndio,lakini magharibi wengi inafahamika ni ughaibuni,na nchi kibao zinaunda ughaibuni

Ningependa kujua hizo nchi nyingine zina deal vipi na mabazazi,

kwenye swala la kulipa maintenance unajidai ni sheria za uk,tusilifuate ila likija la unplanned pregnancy,unaniletea statistics za huko huko UK,

Acha ujanja janja,

Any way,hio sheria ya 70,000 kwa mnaoijua,ilianza lini?

mie nilisema hii ishu itamcost Dai's reputation,

some of his Fans hawatakua happy,kumuona anatoa elfu sabini kwa mtoto kwa wakati anaingiza millions
Hivi unajua kwamba umerudi na kanga mpya 😀😀😀😀!!!!

Halafu unanionea na wewe mwenyewe unafahamu unanionea! Au seriously ulitaka tuhukumu kesi ya Hamisa kwa kuangalia sheria za UK?! Btw, unazungumzia ubazazi upi? Hivi unafahamu Hamisa is at least 25?! Kwahiyo kama ni ubazazi basi hata yeye ni bazazi mzinifu na inaonekana anatumia uzinifu kuzaa ili ageuze watoto mtaji!!!!

Kwamba Diamond itam-cost; hakuna kitu kama hicho!!! Tanzania kila kona watu wamezaa nje ya ndoa including mawaziri, wabunge, majaji na mahakimu!!!! Na haya mambo, utashangaa hata hakimu wa kesi nae unakuta nae amepiga mimba nje ya ndoa au amezalishwa nje ya ndoa?

But trust me, majority watamwelewa Diamond kwamba alitaka wafanye kimya kimya for the sake of his family!!! Ni watu wajinga kama Mobetto ndio hawajali about other people's family! No wonder hata Majizo nae alimbwaga na ataendelea kubwagwa kila siku!!!

Kuhusu sheria ya 70K, technically sheria haijataja kiwango lakini mara kwa mara hicho ndicho kiwango kinachotolewa!!!

Sheria ni ya mwaka 2009 ambapo kiwango kitategemeana na gharama halisi za matunzo pamoja na kipato cha wazazi wote wawili!!!

Sasa wanaposema inategemea na kipato cha wazazi haina maana kwamba kama baba anaingiza bilioni 50 kwa mwezi basi child support atoe 200 million; hell no!!!!

Ni kwamba, kama gharama za matunzo ni 500K na baba uwezo anao basi itabidi awe anatoa 500K. Lakini hata kama gharama halisi ni 500K lakini uwezo wa baba ni 25K, basi ipo itatolewa 25K.

So, kama Hamisa na wakili wake wakiweza ku-prove kwamba gharama halisi ni 5M na Diamond anao uwezo wa kulipa hiyo 5M; basi Hamisa atapewa hiyo 5M!

REMEMBER: Hata TRA walidhani pesa ya Chibu inatoka kirahisi rahisi tu wakaenda na makadirio yao ya kodi milioni mia ngapi sijui!!!!! Kama wamezipata, ni Mungu mwenyewe ndie anajua!!!!
 
Pitia Sheria ya Mtoto ya Mwaka 2009 halafu rudi hapa!!!
Mkumbushe, hii inaitwa JF, for great thinkers and critically analysis, tatizo larudi tena kupenda kusoma, hatuna tabia ya kujisomea kabla ya kubisha, hatutaki kujuwa sheria zetu zimekaaje kabla ya kubisha na kubeza, twendeni Library, tusome katiba, tusome vitabu vyote vinavyoweza patikana, hasa bure, vipo, tukiuliza tutaambiwa viko wapi...
Wanaume tuna asili ya huruma, kupenda mbegu zetu ziendelee, na ndio maana utakuta wengine wakilengeshwa na micharuko, wanatunza, wanasomesha mpaka kujenga na hata kuwaanzishia biashara watoto wao...
Ila micharuko kama ikileta ubishi wewe nenda na sheria tu..weka wazi kipato chako, nao wataangalia matunzo ya mtoto ni kiasi gani, Hamisa asahau safari za Zanzibar au Dubai!
Hamisa anajiona MKE! Anasahau yeye KAZAA TU na Diamond, hawajawi kuishi pamoja, kwahiyo gharama za kula good time na kununuliwa sijuwi nyumba, nguo au gari au sijuwi kuanzishiwa biashara asahau kama ameamuwa kwenda kisheria.
Siku maskini ya Mungu Diamond kaitwa kwa mwenyewe, urithi atapewa mtoto na siyo Hamisa, na itategemea mwenyewe Diamond kaamuwa kumpa mtoto wake nini...
 
Watu wengi hawajui sheria inasemaje. Hamisa ameshauriwa vibaya. Asijidangaje sheria itapindishwa apewe milioni kwaajili ya matunzo kwa mwezi. yeye sio mke ni Incubator tu hivyo Mali za diamond hazimuhusu kabisa. Atajikuta anapewa 40000 kwa mwezi + hela ya usumbufu na kuanzia maisha kama m2 au 3 hivi. Diamond itakua wajanja wamemfungua akili aache ungese kutoa laki 5 kulea mtoto kumbe hela zote mwanamke ananunulia madera.
Mbeto akisoma hii comment lazima atajua hesabu zake

alipiga vibaya.....somo la hesabu ni muhimu jameni
 
Ndio wanaume mjue kuna wanawake ni vidudu mtu..na mashetani....msikimbilie kimbilie tu kulala nao...wengine wana nuski na magundu...sasa huyi diamond ukicheche wake utamtokea puani...
Tembeen na watu wenye akili...
Hamisa akili hana..kazi hana..biashara hana...ana uchi tu
Kweli ww ni tofali....sasa huyo mbeto akiona hii comment

anaweza kuwa nunda kabisa
 
Mbona hapeleki au Hamisa hataki anataka 5M !!!

hakuna mwanasheria mjinga anayeweza kwenda mahakamani kumsimamia mtu anayedai ela ya matumizi million 5 labda kama ni gharama za kesi na usumbufu.

cheki vizuri na hiyo source yako.
 
hakuna mwanasheria mjinga anayeweza kwenda mahakamani kumsimamia mtu anayedai ela ya matumizi million 5 labda kama ni gharama za kesi na usumbufu. cheki vizuri na hiyo source yako.
Labda kama mtoto anakunywa maziwa ya dhahabu!
 
Hivi unajua kwamba umerudi na kanga mpya 😀😀😀😀!!!!

Halafu unanionea na wewe mwenyewe unafahamu unanionea! Au seriously ulitaka tuhukumu kesi ya Hamisa kwa kuangalia sheria za UK?! Btw, unazungumzia ubazazi upi? Hivi unafahamu Hamisa is at least 25?! Kwahiyo kama ni ubazazi basi hata yeye ni bazazi mzinifu na inaonekana anatumia uzinifu kuzaa ili ageuze watoto mtaji!!!!

Kwamba Diamond itam-cost; hakuna kitu kama hicho!!! Tanzania kila ko

Hivi unajua kwamba umerudi na kanga mpya 😀😀😀😀!!!!

Halafu unanionea na wewe mwenyewe unafahamu unanionea! Au seriously ulitaka tuhukumu kesi ya Hamisa kwa kuangalia sheria za UK?! Btw, unazungumzia ubazazi upi? Hivi unafahamu Hamisa is at least 25?! Kwahiyo kama ni ubazazi basi hata yeye ni bazazi mzinifu na inaonekana anatumia uzinifu kuzaa ili ageuze watoto mtaji!!!!

Kwamba Diamond itam-cost; hakuna kitu kama hicho!!! Tanzania kila kona watu wamezaa nje ya ndoa including mawaziri, wabunge, majaji na mahakimu!!!! Na haya mambo, utashangaa hata hakimu wa kesi nae unakuta nae amepiga mimba nje ya ndoa au amezalishwa nje ya ndoa?

But trust me, majority watamwelewa Diamond kwamba alitaka wafanye kimya kimya for the sake of his family!!! Ni watu wajinga kama Mobetto ndio hawajali about other people's family! No wonder hata Majizo nae alimbwaga na ataendelea kubwagwa kila siku!!!

Kuhusu sheria ya 70K, technically sheria haijataja kiwango lakini mara kwa mara hicho ndicho kiwango kinachotolewa!!!

Sheria ni ya mwaka 2009 ambapo kiwango kitategemeana na gharama halisi za matunzo pamoja na kipato cha wazazi wote wawili!!!

Sasa wanaposema inategemea na kipato cha wazazi haina maana kwamba kama baba anaingiza bilioni 50 kwa mwezi basi child support atoe 200 million; hell no!!!!

Ni kwamba, kama gharama za matunzo ni 500K na baba uwezo anao basi itabidi awe anatoa 500K. Lakini hata kama gharama halisi ni 500K lakini uwezo wa baba ni 25K, basi ipo itatolewa 25K.

So, kama Hamisa na wakili wake wakiweza ku-prove kwamba gharama halisi ni 5M na Diamond anao uwezo wa kulipa hiyo 5M; basi Hamisa atapewa hiyo 5M!

REMEMBER: Hata TRA walidhani pesa ya Chibu inatoka kirahisi rahisi tu wakaenda na makadirio yao ya kodi milioni mia ngapi sijui!!!!! Kama wamezipata, ni Mungu mwenyewe ndie anajua!!!!

HAHAAAAA gharama za matunzo ni milioni tano,sio chini ya hapo mkuu,tunatofautiana mwingine ananyonyesha na kuvalisha nepi mwanae gharama inakua ndogo,na wengine wanawapa maziwa watoto ya chupa na kuvalisha Diapers,nimeiweka hii topic kwenye kumbukumbu,nataka nikuone utakapoambiwa DAI atalipa million tano kwa mwezi,jinsi macho yatakapokutoka pima,lol

sijasema utumie sheria za UK kwa kesi ya Hamisa ila ni wewe ndie uliesema hicho kitu cha maintenance kwa mama kutoka kwa baba,hakipo,jambo ambalo si kweli,

Am sure maisha yamepanda from 2009 au???kulipa kiwango hicho si fea,

OUT OF TOPIC KWA WANASHERIA MNISAIDIE;kwa mfano HAMISA anaweza kukata rufaa kama hajaridhika na hukumu iliyotolewa????je anaweza kwenda kimataifa???................mpaka akome,lol

hili saga la kumcost DAI wewe mpoteze mwenzio,kuna masingle maza na wale waliotoa watoto kawapoteza tayari....

na huko kimataifa anakotaka kupeleka mziki wake,ajue kuwa watu wana macho,hizi ishu za kutotaka kuwajibika zinaweza zisionekane impact yake sasa hivi,ila in long run itakuja kueleweka tu....................sijazi maneno TIME WILL TELL................................Lets give it time
 
hakuna mwanasheria mjinga anayeweza kwenda mahakamani kumsimamia mtu anayedai ela ya matumizi million 5 labda kama ni gharama za kesi na usumbufu.

cheki vizuri na hiyo source yako.
Acha bhana! Kwahiyo kumbe hiyo child support ni zaidi ya 5 Million kwa mwezi??!!! Are you serious?! Kabisa unaamini kuna mahakama inayoweza ku-grant hiyo amount (na zaidi) for child support?!

Man, ni wewe ndie unaetakiwa kutizama upya source zako. The problem nyie watu mnakisikia celeb fulani Hollywood ametakiwa kulipa $50K kwa mwezi ndo mnadhani that can apply anywhere!!! Na wakati mwingine wala huwa hamuangalii mazingira ya kiasi kinachotajwa na ndio maana huko huko Hollywood/US, hakuna uniform amount bali kuna factors mbalimbali to consider!!
 
Back
Top Bottom