Kabla hatujaenda kwa mtoto; huyo Hamisa mwenyewe maisha yake yanayotokana na jasho lake yana thamani ya 5 Millioni kwa mwezi?!
Hizo diapers zingekuwa ni kwa ajili ya watoto wenye thamani ya 5 million kwa mwezi zingeuzwa huku Uswahilini!!
Kuhusu maintanance kwa mama kutoka baba ndio hakipo! Hata kwenye ile link uliyoweka hawajasema kwamba kipo na hata kwenye link uliyotoa; hivi ndivyo wameandika:Hakuna mama hapo!!!
Labda sehemu ambayo hukunielewa ni pale niliposema wakati mwingine what to pay inategemea na status ya wazazi hapo kabla! Kwa mfano, unakuta wazazi walikuwa ni wanandoa au hata kama hawakuwa wanandoa bado walikuwa wanaishi pamoja ndipo wakatengana!!!
Sasa kwavile walikuwa wanaishia pamoja, rent cost
inaweza kuwa sehemu ya child support kwa sababu, kama hapo nyumbani ametoka; hawezi kulelea mtoto barabarani!!!! Hamisa hawezi ku-fit kwa kigezo kama hicho kwa sababu, tangu zamani hakuwa anaishi na Diamond!!!
Na hata niliposema life style ya wazazi ndo hivyo hivyo!! Hamisa hawezi kudai kutokana na lifestyle ya Zari na Diamond kwa sababu hiyo sio life style yake na Diamond!!! Diamond anaweza kusema lavish life ya akina Tiffa inatokana na mama yao au inatokana na mikataba ya biashara ya Tiffa na Baby Shop!!! Which means, kama Tiffa alifanyiwa birthday ya 500 million hiyo haiwez kuwa life style ya mtoto wa Diamond na Hamisa!
Kwamba Diamond litam-cost hili suala hakuna kitu kama hicho!!! Ataishia kupata hivyo hivyo vilaki; period!!!! Hamisa na wakili wake hawana ubavu wa kutoa break down ya 5M kwa ajili ya mtoto peke yake labda kama wataandika viroja kwenye hiyo breakdown!!!
Na kwamba huko kimataifa anakotaka kupeleka muziki wake ndo kabisa hawana time na Gold Diggers!!! Diamond hajakataa lakini anachokataa ni kufanywa mtaji!!!
REMEMBER, Gold Digger sio neno la Kiswahili! Urban Dictionary hivi ndivyo inatafsiri Gold Digger: "
Any woman whose primary interest in a relationship is material benefits. A woman who cares more about a man's bank account than she does about the man." Kwahiyo hata mbele watu aina ya Hamisa hakuna anaewa-entertain!
Au zilikupita habari za swahibu ake Jannet Jackson alivyowatolea povu mashabiki waliokuwa wanamsakama Janet kwamba ni gold digger? The reason, ni Janet kuolewa na Mwarabu lakini baada ya kupata mtoto tu; hawakuchukua muda Janet akasepa!!!
Watu wakamjia juu kwamba hakuwa na mapenzi kwa Mwarabu isipokuwa alitaka azae naei ili aanze kula za Mwarabu kwa mgongo wa child support!!!!