Diamond Platnumz aburuzwa Mahakama ya watoto na Hamisa Mobetto!

Diamond Platnumz aburuzwa Mahakama ya watoto na Hamisa Mobetto!

Acha bhana! Kwahiyo kumbe hiyo child support ni zaidi ya 5 Million kwa mwezi??!!! Are you serious?! Kabisa unaamini kuna mahakama inayoweza ku-grant hiyo amount (na zaidi) for child support?! Man, ni wewe ndie unaetakiwa kutizama upya source zako. The problem nyie watu mnakisikia celeb fulani Hollywood ametakiwa kulipa $50K kwa mwezi ndo mnadhani that can apply anywhere!!! Na wakati mwingine wala huwa hamuangalii mazingira ya kiasi kinachotajwa na ndio maana huko huko Hollywood/US, hakuna uniform amount bali kuna factors mbalimbali to consider!!
Rejea reply yako kuhusu TRA kwenda kwa Diamond kutaka mamilioni! Kimya mpaka leo!
Leo kaja Incubator anataka 5m/= per month! Mtasikia kimya pia...
 
Acha bhana! Kwahiyo kumbe hiyo child support ni zaidi ya 5 Million kwa mwezi??!!! Are you serious?! Kabisa unaamini kuna mahakama inayoweza ku-grant hiyo amount (na zaidi) for child support?!

Man, ni wewe ndie unaetakiwa kutizama upya source zako. The problem nyie watu mnakisikia celeb fulani Hollywood ametakiwa kulipa $50K kwa mwezi ndo mnadhani that can apply anywhere!!! Na wakati mwingine wala huwa hamuangalii mazingira ya kiasi kinachotajwa na ndio maana huko huko Hollywood/US, hakuna uniform amount bali kuna factors mbalimbali to consider!!

hey try to think like a man with 2 balls.

Nimesema hakuna mwanasheria mjinga ambaye atapoteza muda wake kwenda mahakamani kudai 5 million kama pesa ya matumizi ya mtoto, yaani nikimaanisha hiyo 5 million uliyoandika hapo ni uongo mtupu ni kubwa saana kama pesa ya matumizi ya mtoto inayotolewa kisheria.

hebu re-think nani kakupa hiyo habari ya Mobeto kudai pesa ya matumizi million 5????
 
n

HAHAAAAA gharama za matunzo ni milioni tano,sio chini ya hapo mkuu,tunatofautiana mwingine ananyonyesha na kuvalisha nepi mwanae gharama inakua ndogo,na wengine wanawapa maziwa watoto ya chupa na kuvalisha Diapers,nimeiweka hii topic kwenye kumbukumbu,nataka nikuone utakapoambiwa DAI atalipa million tano kwa mwezi,jinsi macho yatakapokutoka pima,lol

sijasema utumie sheria za UK kwa kesi ya Hamisa ila ni wewe ndie uliesema hicho kitu cha maintenance kwa mama kutoka kwa baba,hakipo,jambo ambalo si kweli,

Am sure maisha yamepanda from 2009 au???kulipa kiwango hicho si fea,

OUT OF TOPIC KWA WANASHERIA MNISAIDIE;kwa mfano HAMISA anaweza kukata rufaa kama hajaridhika na hukumu iliyotolewa????je anaweza kwenda kimataifa???................mpaka akome,lol

hili saga la kumcost DAI wewe mpoteze mwenzio,kuna masingle maza na wale waliotoa watoto kawapoteza tayari....

na huko kimataifa anakotaka kupeleka mziki wake,ajue kuwa watu wana macho,hizi ishu za kutotaka kuwajibika zinaweza zisionekane impact yake sasa hivi,ila in long run itakuja kueleweka tu....................sijazi maneno TIME WILL TELL................................Lets give it time
Kabla hatujaenda kwa mtoto; huyo Hamisa mwenyewe maisha yake yanayotokana na jasho lake yana thamani ya 5 Millioni kwa mwezi?!

Hizo diapers zingekuwa ni kwa ajili ya watoto wenye thamani ya 5 million kwa mwezi zingeuzwa huku Uswahilini!!

Kuhusu maintanance kwa mama kutoka baba ndio hakipo! Hata kwenye ile link uliyoweka hawajasema kwamba kipo na hata kwenye link uliyotoa; hivi ndivyo wameandika:
The Child Maintenance Service (CMS) has the primary jurisdiction for assessing and enforcing child maintenance but the court has residual powers to make financial provisions for children over and above this in certain circumstances
Hakuna mama hapo!!!

Labda sehemu ambayo hukunielewa ni pale niliposema wakati mwingine what to pay inategemea na status ya wazazi hapo kabla! Kwa mfano, unakuta wazazi walikuwa ni wanandoa au hata kama hawakuwa wanandoa bado walikuwa wanaishi pamoja ndipo wakatengana!!!

Sasa kwavile walikuwa wanaishia pamoja, rent cost inaweza kuwa sehemu ya child support kwa sababu, kama hapo nyumbani ametoka; hawezi kulelea mtoto barabarani!!!! Hamisa hawezi ku-fit kwa kigezo kama hicho kwa sababu, tangu zamani hakuwa anaishi na Diamond!!!

Na hata niliposema life style ya wazazi ndo hivyo hivyo!! Hamisa hawezi kudai kutokana na lifestyle ya Zari na Diamond kwa sababu hiyo sio life style yake na Diamond!!! Diamond anaweza kusema lavish life ya akina Tiffa inatokana na mama yao au inatokana na mikataba ya biashara ya Tiffa na Baby Shop!!! Which means, kama Tiffa alifanyiwa birthday ya 500 million hiyo haiwez kuwa life style ya mtoto wa Diamond na Hamisa!

Kwamba Diamond litam-cost hili suala hakuna kitu kama hicho!!! Ataishia kupata hivyo hivyo vilaki; period!!!! Hamisa na wakili wake hawana ubavu wa kutoa break down ya 5M kwa ajili ya mtoto peke yake labda kama wataandika viroja kwenye hiyo breakdown!!!

Na kwamba huko kimataifa anakotaka kupeleka muziki wake ndo kabisa hawana time na Gold Diggers!!! Diamond hajakataa lakini anachokataa ni kufanywa mtaji!!!

REMEMBER, Gold Digger sio neno la Kiswahili! Urban Dictionary hivi ndivyo inatafsiri Gold Digger: "Any woman whose primary interest in a relationship is material benefits. A woman who cares more about a man's bank account than she does about the man." Kwahiyo hata mbele watu aina ya Hamisa hakuna anaewa-entertain!

Au zilikupita habari za swahibu ake Jannet Jackson alivyowatolea povu mashabiki waliokuwa wanamsakama Janet kwamba ni gold digger? The reason, ni Janet kuolewa na Mwarabu lakini baada ya kupata mtoto tu; hawakuchukua muda Janet akasepa!!!

Watu wakamjia juu kwamba hakuwa na mapenzi kwa Mwarabu isipokuwa alitaka azae naei ili aanze kula za Mwarabu kwa mgongo wa child support!!!!
 
hey try to think like a man with 2 balls.

Nimesema hakuna mwanasheria mjinga ambaye atapoteza muda wake kwenda mahakamani kudai 5 million kama pesa ya matumizi ya mtoto, yaani nikimaanisha hiyo 5 million uliyoandika hapo ni uongo mtupu ni kubwa saana kama pesa ya matumizi ya mtoto inayotolewa kisheria.

hebu re-think nani kakupa hiyo habari ya Mobeto kudai pesa ya matumizi million 5????
Nilijaribu kukuelewa lakini nikaona nitaji-contradict na hoja yako ya kwanza ambayo niliku-quote:
Sasa mbona hata hizo 70000 hapeleki???
Kwa sababu, kama unafuatilia hili senkenke, Diamond alisema baada ya kukorofishana na Hamisa, issue akamwachia mwanasheria wake na ikawa settled alipe 70K lakini Diamond akasema atalipa 200K lakini Hamisa alikuwa hataki hiyo 200K bali alikuwa anataka 5M!!!

Ndo maana nikauliza, ni kwamba hapeleki hizo 70K au Hamisa hazitaki na anataka 5M?!

Sasa jibu lako lililofuata likawa tungo tata; kwamba hakuna mwanasheria atakayekubali 5M ambapo inaweza kuwa kama ulivyofafanua sasa ambapo nakubaliana na wewe au inaweza kuwa 5M ni ndogo kwa sababu kama mwanasheria atasimamia kesi yenye malipo kama hayo; halafu yeye alipwe bei gani?! But anyway, inategemea na status ya mwanasheria mwenyewe manake kwa mtu kama Msando kwa mfano, kwa kesi ya kudai 5M/months labda akusaidie tu lakini sio ategemee kumlipa!!!
 
Rejea reply yako kuhusu TRA kwenda kwa Diamond kutaka mamilioni! Kimya mpaka leo!
Leo kaja Incubator anataka 5m/= per month! Mtasikia kimya pia...
Watu wanadhani pesa inayotafutwa kwa jasho inatoka hovyo hovyo tu!!!!
 
Naona hamisa keshaandaa sherehe kubwa arobain part two ukumbi kakodi ukumbi king salomon kukomeshea watu aiseeee wanaomshauri hamisa wanampotosha kwa pesa gani alizonazo hadi kutaka kufuru za namna hio
 
Mkumbushe, hii inaitwa JF, for great thinkers and critically analysis, tatizo larudi tena kupenda kusoma, hatuna tabia ya kujisomea kabla ya kubisha, hatutaki kujuwa sheria zetu zimekaaje kabla ya kubisha na kubeza, twendeni Library, tusome katiba, tusome vitabu vyote vinavyoweza patikana, hasa bure, vipo, tukiuliza tutaambiwa viko wapi...
Wanaume tuna asili ya huruma, kupenda mbegu zetu ziendelee, na ndio maana utakuta wengine wakilengeshwa na micharuko, wanatunza, wanasomesha mpaka kujenga na hata kuwaanzishia biashara watoto wao...
Ila micharuko kama ikileta ubishi wewe nenda na sheria tu..weka wazi kipato chako, nao wataangalia matunzo ya mtoto ni kiasi gani, Hamisa asahau safari za Zanzibar au Dubai!
Hamisa anajiona MKE! Anasahau yeye KAZAA TU na Diamond, hawajawi kuishi pamoja, kwahiyo gharama za kula good time na kununuliwa sijuwi nyumba, nguo au gari au sijuwi kuanzishiwa biashara asahau kama ameamuwa kwenda kisheria.
Siku maskini ya Mungu Diamond kaitwa kwa mwenyewe, urithi atapewa mtoto na siyo Hamisa, na itategemea mwenyewe Diamond kaamuwa kumpa mtoto wake nini...
Uliyoongea ni ukweli mtupu! Hamisa hawezi kuwa na chake hata thumuni!! Na hilo la kusoma kwa Wabongo ni mtihani wakati siku hizi kila kitu kipo online!!!
 
MAMA BUNDUKI OG.jpg
HAMISA KESHAANZISHA KIWANDA HIVYO.TANZANIA YA VIWANDA INAWEZEKANA KAMATA FURSA
 
Kabla hatujaenda kwa mtoto; huyo Hamisa mwenyewe maisha yake yanayotokana na jasho lake yana thamani ya 5 Millioni kwa mwezi?!

Hizo diapers zingekuwa ni kwa ajili ya watoto wenye thamani ya 5 million kwa mwezi zingeuzwa huku Uswahilini!!

Kuhusu maintanance kwa mama kutoka baba ndio hakipo! Hata kwenye ile link uliyoweka hawajasema kwamba kipo na hata kwenye link uliyotoa; hivi ndivyo wameandika:Hakuna mama hapo!!!

Labda sehemu ambayo hukunielewa ni pale niliposema wakati mwingine what to pay inategemea na status ya wazazi hapo kabla! Kwa mfano, unakuta wazazi walikuwa ni wanandoa au hata kama hawakuwa wanandoa bado walikuwa wanaishi pamoja ndipo wakatengana!!!

Sasa kwavile walikuwa wanaishia pamoja, rent cost inaweza kuwa sehemu ya child support kwa sababu, kama hapo nyumbani ametoka; hawezi kulelea mtoto barabarani!!!! Hamisa hawezi ku-fit kwa kigezo kama hicho kwa sababu, tangu zamani hakuwa anaishi na Diamond!!!

Na hata niliposema life style ya wazazi ndo hivyo hivyo!! Hamisa hawezi kudai kutokana na lifestyle ya Zari na Diamond kwa sababu hiyo sio life style yake na Diamond!!! Diamond anaweza kusema lavish life ya akina Tiffa inatokana na mama yao au inatokana na mikataba ya biashara ya Tiffa na Baby Shop!!! Which means, kama Tiffa alifanyiwa birthday ya 500 million hiyo haiwez kuwa life style ya mtoto wa Diamond na Hamisa!

Kwamba Diamond litam-cost hili suala hakuna kitu kama hicho!!! Ataishia kupata hivyo hivyo vilaki; period!!!! Hamisa na wakili wake hawana ubavu wa kutoa break down ya 5M kwa ajili ya mtoto peke yake labda kama wataandika viroja kwenye hiyo breakdown!!!

Na kwamba huko kimataifa anakotaka kupeleka muziki wake ndo kabisa hawana time na Gold Diggers!!! Diamond hajakataa lakini anachokataa ni kufanywa mtaji!!!

REMEMBER, Gold Digger sio neno la Kiswahili! Urban Dictionary hivi ndivyo inatafsiri Gold Digger: "Any woman whose primary interest in a relationship is material benefits. A woman who cares more about a man's bank account than she does about the man." Kwahiyo hata mbele watu aina ya Hamisa hakuna anaewa-entertain!

Au zilikupita habari za swahibu ake Jannet Jackson alivyowatolea povu mashabiki waliokuwa wanamsakama Janet kwamba ni gold digger? The reason, ni Janet kuolewa na Mwarabu lakini baada ya kupata mtoto tu; hawakuchukua muda Janet akasepa!!!

Watu wakamjia juu kwamba hakuwa na mapenzi kwa Mwarabu isipokuwa alitaka azae naei ili aanze kula za Mwarabu kwa mgongo wa child support!!!!

soma huo mtandao niliokupa,ukipata muda mmnh,mama anapewa house,car na holiday allowances,YAAANI WEWE NIMEKUWEKEA LINK NA BADO UNAANDIKA UPUUZI,NATOKA RASMI KWENYE KOMBE LA KUGOMBEA MBUZI,KWA HERI....
 
Kabla hatujaenda kwa mtoto; huyo Hamisa mwenyewe maisha yake yanayotokana na jasho lake yana thamani ya 5 Millioni kwa mwezi?!
Ni vigumu wenye akili kama za Hamisa Mabeto kukuelewa...sababu mbele ya macho yao wanaona $ $ tu, hata wakiambiwa sheria ziko hivi wao wanakataa, pia wakumbuke, sheria za hapa TZ ziko tofauti kidogo na huko ughaibuni, ningependa mwisho wa hii kesi ujulikane ili iwe fundisho kwa Incubators na Gold Diggers wengine..
 
soma huo mtandao niliokupa,ukipata muda mmnh,mama anapewa house,car na holiday allowances,YAAANI WEWE NIMEKUWEKEA LINK NA BADO UNAANDIKA UPUUZI,NATOKA RASMI KWENYE KOMBE LA KUGOMBEA MBUZI,KWA HERI....
Hata kama unaniona ni mpuuzi, ningekushauri uwe unaelewa unachokisoma! Hiyo link umeiweka wewe mwenyewe lakini unashindwa kuelewa context ya hoja!!

Hiki ndicho wameandika:
Housing is often an essential issue for unmarried parents on the breakdown on their relationship. Frequently, the parents will have lived together in property not jointly owned, leaving one parent in a substantially worse off position. If an application is made under Schedule 1, the court can award a parent to purchase a property on trust for their child for them to live in with the other parent until that child reaches 18.
Mosi, hao watu walikuwa wanaishi pamoja na sasa wametengana!!!! Sasa kama walikuwa wanaishi pamoja na huyu mama ana jukumu la kulea mtoto na alipokuwa anaishi ameondoka kutokana na separation; hapo ndipo mahakama inaweza kutamka mzazi mlezi apewe nyumba!!! Na hiyo nyumba sio ya mama ndio maana wameandika "to purchase a property on trust for their child for them to live in with the other parent until that child reaches 18."

Kwa kauli hiyo, hata kama nyumba inanunuliwa, inakuwa sio ya mama!!! Hapo anakuwa kama ameazimwa tu kulelea mtoto na akifika 18, nyumba inarudi kwa aliyenunua!!!

Lakini ananunuliwa nyumba kivipi? Rudi hapo kwenye GREEN! Atanunuliwa hiyo nyumba If an application is made under Schedule 1,.

Baada ya kufika hapo ulitakiwa kufahamu what's under Schedule 1. Mosi, ulitakiwa kufahamu hiyo ni special case na sio kwamba kila inapotokea suala la child support, nyumba inanunuliwa!!!

Pili, wenyewe wametafsiri hiyo under Schedule 1 kwamba:
The Child Maintenance Service (CMS) has the primary jurisdiction for assessing and enforcing child maintenance but the court has residual powers to make financial provisions for children over and above this in certain circumstances i.e. mother or father has a substantial income over and above what the CMS can award. In such circumstances, the parents can make the ‘Schedule 1 application’ on behalf of their child.
Kwamba, primary jurisdiction of CMS is for child maintenance! Na kama mahakama inaona $5000 zinatosha kabisa kwa basic child maintanance; basi hiyo ndio amount for CMS!!!

Lakini inapotokea case niliyosema awali kwamba hapo kabla walikuwa wanaishi pamoja na sasa wametengana wakati mama anatakiwa kulea mtoto huku akiwa hana pa kuishi, na mahakama inaona baba anao uwezo beyond basic child maintenance; hapo ndipo application itafanyika Under Schedule 1 na kumtaka kumtaka baba anunue nyumba itakayomwezesha mama kuishi na huyo mtoto lakini hiyo nyumba sio ya mama!!!

Na kama ungekuwa umesoma source yako mwenyewe, ungekuta wameandika wazi kwamba hiyo Schedule 1 ni for Wealth People and not for everybody!!!

Na hilo la nyumba nilishasema tangu mwanzo kwamba:
Labda sehemu ambayo hukunielewa ni pale niliposema wakati mwingine what to pay inategemea na status ya wazazi hapo kabla! Kwa mfano, unakuta wazazi walikuwa ni wanandoa au hata kama hawakuwa wanandoa bado walikuwa wanaishi pamoja ndipo wakatengana!!!

Sasa kwavile walikuwa wanaishia pamoja, rent cost inaweza kuwa sehemu ya child support kwa sababu, kama hapo nyumbani ametoka; hawezi kulelea mtoto barabarani!!!! Hamisa hawezi ku-fit kwa kigezo kama hicho kwa sababu, tangu zamani hakuwa anaishi na Diamond!!!
Sasa huo upuuzi unaosema nimeandika ni upi? Nimeandika upuuzi au umeshindwa kuelewa source ambayo umeiweka wewe mwenyewe!

Huwezi kuelewa masuala ya kisheria kwa kusoma mstari mmoja peke yake; never ever!!!!
 
soma huo mtandao niliokupa,ukipata muda mmnh,mama anapewa house,car na holiday allowances,YAAANI WEWE NIMEKUWEKEA LINK NA BADO UNAANDIKA UPUUZI,NATOKA RASMI KWENYE KOMBE LA KUGOMBEA MBUZI,KWA HERI....
Ni mpuuzi ,mjinga,mshenzi na chengu ndio anaweza kutafsiri child support context Ya USA na Tz ...

Tunza hii comment " HAPO HAKUNA KESI, DIAMOND ATALIPA 70,000 kwa mwezi kama sheria inavyotaka"

Unakumbuka issue ya faiza ally na Mbunge Wa mbeya mjini Joseph mbilinyi "Mr 2" ????

Mr Two aliamuliwa atoe 70000 kwa mwezi, Kumbuka sugu ni mbunge kaulizie mshahara na malupulupu yake
 
Ni mpuuzi ,mjinga,mshenzi na chengu ndio anaweza kutafsiri child support context Ya USA na Tz ...Tunza hii comment " HAPO HAKUNA KESI, DIAMOND ATALIPA 70,000 kwa mwezi kama sheria inavyotaka" Unakumbuka issue ya faiza ally na Mbunge Wa mbeya mjini Joseph mbilinyi "Mr 2" ????
Mr Two aliamuliwa atoe 70000 kwa mwezi, Kumbuka sugu ni mbunge kaulizie mshahara na malupulupu yake
Hii micharuko inadanganyana sana, na kama nilivyosema huko nyuma, ningependa matokeo ya hii kesi yajulikane ili hizi Incubators zijuwe siku kikitinga itakuwaje na kama watataka kung'ang'ania kuzaa..
 
Back
Top Bottom