Diamond Platnumz aburuzwa Mahakama ya watoto na Hamisa Mobetto!

hivi umri wa diamond kumchukua uyo mtoto ni miaka mingap?,,atoe tu matunzo ukifika age hiyo anachukua mtoto na aweke mkataba wa mama kutokuonana na mtoto kama CR7!!!!!
 
Kwa hapo madale hamissa ataisoma namba .. alizani ni kwa baba fantasy eeeh
Hamisa amuulize Wema maana analijua balaaa la Domo...

Domo hatoagi hata mia anapenda maku za bure kigezo kikiwa ni ndoa na haoi!

Alimnyonyolesha Wema upara na kumvalisha madera ili tu asinunue Mawigi ya malaki na vitopu vya Gucci
 
Ndiyo atajua balaa la kuzaa na msingi kiuno ni kitu gani!
Sasa ngoja na kule Zari aliamshe dude la kudai matumizi,
Ndiyo akili itamkaa sawa!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
hivi umri wa diamond kumchukua uyo mtoto ni miaka mingap?,,atoe tu matunzo ukifika age hiyo anachukua mtoto na aweke mkataba wa mama kutokuonana na mtoto kama CR7!!!!!
hayo matunzo ndio yamempeleka mahakamani
 
Diamond itabidi amchukue Albert Msando awe wakili wake...
 
Hamisa anazitafuta milioni tano kwa mwezi. Ila haya mambo ya kulazimisha vitu mwisho wake huwa si mnzuri hata kidogo. Pamoja na kwamba matunzo ni haki ya mtoto ila nachokiona Hamisa anazidi kujidhalilisha tu.
Njaa nomaaa
 
Hamisa sasa hata ile laki tano ndio hutoiona....utaishia kupata 70,000 ya serikali tu........dhiki za familia usipeleke kwa familia nyingine mtaishia kuuza utu.

Inamaana hamisa angezaa na chid benz leo hii angeambulia hata ten kwa wiki kweli...?
 
Huyu dem mswahili sana kakutana na mama yake hawachekani tabia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…