sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 19,955
- 45,207
Nyinyi wanawake dahhhh....Diamond kazi anayo. Na hii ndio shida ya kukumba kumba kuna vingine havikumbwi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyinyi wanawake dahhhh....Diamond kazi anayo. Na hii ndio shida ya kukumba kumba kuna vingine havikumbwi.
Duh.Amuombe radhi kwa kumtia mimba?
Haaaaa haaa...aseeeYani namaanisha ze sheep is come wiz ze englishi
Kutumia Kondomu sio inshu. Inshu ni kujisahau kumwagia nje.Ndio madhara ya kutotumia condom
Hamisa amuulize Wema maana analijua balaaa la Domo...Kwa hapo madale hamissa ataisoma namba .. alizani ni kwa baba fantasy eeeh
Teh teh tehhio hela ya mawakili hawezi kutunza mtoto shenz type
Mawakili hawajapewa hata senti...wanasubiri washinde kesi wapokee chao!hio hela ya mawakili hawezi kutunza mtoto shenz type
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ndiyo atajua balaa la kuzaa na msingi kiuno ni kitu gani!
Sasa ngoja na kule Zari aliamshe dude la kudai matumizi,
Ndiyo akili itamkaa sawa!
hayo matunzo ndio yamempeleka mahakamanihivi umri wa diamond kumchukua uyo mtoto ni miaka mingap?,,atoe tu matunzo ukifika age hiyo anachukua mtoto na aweke mkataba wa mama kutokuonana na mtoto kama CR7!!!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyo aliyeandika hayo majina ana mwandiko kama wa chid benz....
What are u doing for living son?Kumekucha tena
He heeeeAmuombe radhi kwa kumtia mimba?
Njaa nomaaaHamisa anazitafuta milioni tano kwa mwezi. Ila haya mambo ya kulazimisha vitu mwisho wake huwa si mnzuri hata kidogo. Pamoja na kwamba matunzo ni haki ya mtoto ila nachokiona Hamisa anazidi kujidhalilisha tu.
Ohooooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimejiuliza kuhusu hii mahakama nikawaza, hivi Diamond ni mtoto?
Huyu dem mswahili sana kakutana na mama yake hawachekani tabiaHawa watu hawaeleweki.Huyu Hamisa kutwa kujishaua mitandaoni,kwani si atulie jamani?Kashaharibu uhusiano ya Zari na Diamond naona kaona jamaa bado haeleweki kaamua kuja na hii.Diamond ana makosa ila huyu Hamisa inaonekana anafurahia kabisa kumuharibia Zari.Tatizo Majizzo anatakua anatoa mpunga wa kutosha akadhani Diamond itakuwa zaidi