Diamond Platnumz aburuzwa Mahakama ya watoto na Hamisa Mobetto!

Kesi yenye pesa za wazi kama hii wakili yeyote anaingia kazini malipo yatatoka humohumo, hao mawakili wengine ni wadogo zetu tena kesi kama ya Wema Sepetu anatetewa bure bila malipo mawakili wanatengeza CV zao
Asante...

Watu kibao nawajua kindaki hawatoi hata mia mpaka kesi iishe!...sema wakili huwa anajua kuwa kesi fulani kushinda lazima ndo maana anakubali
 
Hamisa sasa hata ile laki tano ndio hutoiona....utaishia kupata 70,000 ya serikali tu........dhiki za familia usipeleke kwa familia nyingine mtaishia kuuza utu.

Inamaana hamisa angezaa na chid benz leo hii angeambulia hata ten kwa wiki kweli...?

Laki tano ilishapunguzwa kuwa laki 2 kwa mwezi alivyosema Dee wao.. kwa kuonewa huruma kuongezewa kwenye elfu 70 anayostahili kumpa kwa mwezi..
 
Sema huyo manzi Hamisa ana njaa kali sana, yaan yeye timing yake ni kuzaa na wenye pesa tu, hana shughuli maalum mjin
....Jamani yaani asuguliwe tuu bure kipochi manyoya chake? Si tumesema kiuno huku tauni ni mtaji atii?
 
Kama awali alikuwa anapewa elfu70 kwa siku, sasa hivi analalamika nini tena mpaka kwenda kushtakiana...


Na kama jamaa alikuwa mtoaji kipindi cha ujauzito, sasa hivi anshindwa nini kutoa baada ya mtoto kuzaliwa...


Cc: mahondaw
 
Laki mbili kwa mwezi. Kutoka kwenye M5 aliyokuwa ameipigia mahesabu ya mbali. Ama kweli. Haki yake kwenda kortini
 
Hamisa anazitafuta milioni tano kwa mwezi. Ila haya mambo ya kulazimisha vitu mwisho wake huwa si mnzuri hata kidogo. Pamoja na kwamba matunzo ni haki ya mtoto ila nachokiona Hamisa anazidi kujidhalilisha tu.
Nakumbuka matunzo ya mtoto ilikuwa ni sh elfu hamsini(50,000) kwa mwezi.
Aangalie asije kuambulia elfu hamsini tu!
 
diamond atume iyo 140,000 mda huu amuongezee na laki 2 ya usumbufu
 
Siyo assumption hii mkuu.....mimi kama Diamond namchukua mwanangu alelewe na bibi yake ama Zari na mimi mwenyewe ila si kwa Hamisa na nakata kabisa mawasiliano naye. Changu haendekezwi hata siku moja, wao ni kuharibu ndoa za watu tu.
Wewe ni mjinga, Diamond hana ndoa, pili kwenye court of law kuna umri ambao lazima mtoto afike ndio baba unaweza kupewa mtoto unless court ithibitishe pasi na shaka yoyote kwamba mtoto kuendelea kukaa na mama kuna madhara makubwa. Na uelewe kipengere hiki hakijatowa sababu za kubuni au kutunga, sababu mojawapo labda mama ithibitike ana tatizo la afya ya akili mental case.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…