witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Asante...Kesi yenye pesa za wazi kama hii wakili yeyote anaingia kazini malipo yatatoka humohumo, hao mawakili wengine ni wadogo zetu tena kesi kama ya Wema Sepetu anatetewa bure bila malipo mawakili wanatengeza CV zao
Watu kibao nawajua kindaki hawatoi hata mia mpaka kesi iishe!...sema wakili huwa anajua kuwa kesi fulani kushinda lazima ndo maana anakubali