cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
Siyo assumption hii mkuu.....mimi kama Diamond namchukua mwanangu alelewe na bibi yake ama Zari na mimi mwenyewe ila si kwa Hamisa na nakata kabisa mawasiliano naye. Changu haendekezwi hata siku moja, wao ni kuharibu ndoa za watu tu.
Read Section 59 of the Advocates ActSio kweli...
Kuna mtu wangu wa karibu aliyafanya kama haya ya hamisa ila hakutoa hata senti!
Kesi iliisha na demu akashinda wakakatana juu kwa juu
Upoo nyonyooo?
daaah ni hatari sana kama imefikia hukuKuna wakili anatengeneza mazingira ya rushwa kwa dai
Tararibu usije RIP, ukaacha mjane tafadhali. (Hivi mwanaume aliyefiwa na mkewe anaitwa mjane?)Ndugu yangu taratibu na mbavu zangu jamani
sawaMawakili hawajapewa hata senti...wanasubiri washinde kesi wapokee chao!
That's amount to misconductKesi yenye pesa za wazi kama hii wakili yeyote anaingia kazini malipo yatatoka humohumo, hao mawakili wengine ni wadogo zetu tena kesi kama ya Wema Sepetu anatetewa bure bila malipo mawakili wanatengeza CV zao
Le mbebez si alikimbia maisha yalimpiga akaona aje bongo kupiga selfie kwenye mahotel ili tujue mtoto wa malechelaHivi unadhani hii ni kesi ya kisiasa au ya kibiashara?
Dunia mzima demu akikupandisha mahakamani kwa issue ya child support labda uwe mchovu ndio salama yako.
Kama Diamond anawashauri wazuri na anawasikiliza hizi ni issue za kumaliza nje ya mahakama.
Tena kwa nchi kama Marekani ndio usiombe child support unakatwa juu kwa juu kwenye source zako inaenda kwa mama.
Shabikieni mambo mengine lakini siyo Child support muulizeni Le Mutuz kakimbia nini Marekani.
Alelewe na zarina huyu huyu au unamaanisha zaina????Siyo assumption hii mkuu.....mimi kama Diamond namchukua mwanangu alelewe na bibi yake ama Zari na mimi mwenyewe ila si kwa Hamisa na nakata kabisa mawasiliano naye. Changu haendekezwi hata siku moja, wao ni kuharibu ndoa za watu tu.
Nahisi zile ukute zilikua mbwembwe tu za dai na ndo kamuumbua sasa loohh!mi nilikua nashangaa ukimya wa missa ujue dahKweli...
Hata sumnii[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mjini hapadaaah ni hatari sana kama imefikia huku
Sana viatu vyake vigumu mnoo ila hawa wanaume hawa hatariiiHamisa anapitia kipindi kigumu sana
Maisha ya insta yaone hivyo hivyo tuu
Teh madame bana, hamisa ana ugumu leo?Sana viatu vyake vigumu mnoo ila hawa wanaume hawa hatariii
Si kweli. . labda zile kesi wanazopangiwa na TLS nyingine unalipa tens kesi ya mobeto lazima wavute chao kwanza asilimia 70 nyingine baada ya kesi kuishaMawakili hawajapewa hata senti...wanasubiri washinde kesi wapokee chao!
Okay poa
Rebeca mbona hapa JF ndio duniani au unaongelea dunia ipi!Daimond futa hii kesi,itakucost kimataifa,watu hawataki kuskiaga umewaneglect watoto wako..............................ifute mapema kabla haijaenea duniani.....................
Rebeca mbona hapa JF ndio duniani au unaongelea dunia ipi!
Nayo ni ajira pia..Sema huyo manzi Hamisa ana njaa kali sana, yaan yeye timing yake ni kuzaa na wenye pesa tu, hana shughuli maalum mjin