ndayilagije
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 7,491
- 8,304
Imemshinda ya kipare ataweza ya firauni[emoji16][emoji16][emoji16]H baba hajapata nafasi ya kufanya onyesho mubashara?? [emoji38]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imemshinda ya kipare ataweza ya firauni[emoji16][emoji16][emoji16]H baba hajapata nafasi ya kufanya onyesho mubashara?? [emoji38]
Kwanza live band michosho bora CD pumbabuvudiamond will be performing live
ungemalizia lakini kwa msaada wa CD.
Tanzania hatuna msanii mwenye uwezo wa kufanya show live kama wenzetu
kwamba ujui au??Nani anafanya na live band?
kiukwel kijana wetu anajituma Sema haters wanaumia sanaaaa uyu ndo mond bin ladenView attachment 1313062
Diamond ana perform ktk hizi tuzo za CAF kwa mara ya tatu.
View attachment 1313063
View attachment 1313066
Kwa msaada wa CD au msaada wa DJ? Maana sk hizi ma DJ wanatumia laptop!!!diamond will be performing live
ungemalizia lakini kwa msaada wa CD.
Tanzania hatuna msanii mwenye uwezo wa kufanya show live kama wenzetu
Kawaida hiyo kwa watu walio piga hatua kimaendeleo.kiukwel kijana wetu anajituma Sema haters wanaumia sanaaaa uyu ndo mond bin laden
Show za live zinafaa kwenye indoors tu, wana nzengo wa Iringa, Sumbawanga sijui Katavi uwaimbie Live utakuwa na akili kweli.diamond will be performing live
ungemalizia lakini kwa msaada wa CD.
Tanzania hatuna msanii mwenye uwezo wa kufanya show live kama wenzetu
Cairo moto unawakadiamond will be performing live
ungemalizia lakini kwa msaada wa CD.
Tanzania hatuna msanii mwenye uwezo wa kufanya show live kama wenzetu
Barnaba boy classicdiamond will be performing live
ungemalizia lakini kwa msaada wa CD.
Tanzania hatuna msanii mwenye uwezo wa kufanya show live kama wenzetu
Huyo ataishia sherehe za Uhuru.Mbona konde atatumbuiza world kapu!haitustui wala.
na wasanii wake kina ki2ga wanashinda sebuleni had I mtoto wa kimombasa anaamua kwenda kwao.Kiba hapendi show off, naskia anapafomu sebuleni kwake tu siku hizi