Labda Azam Cola! Lakini kama ni Coca Cola international,ni Big No!!!Msichanganye wimbo wa kombe la dunia na wimbo wa cocacola
Diamond anaimba wimbo wa cocCola kwa sababu ni balozi wa coca.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda Azam Cola! Lakini kama ni Coca Cola international,ni Big No!!!Msichanganye wimbo wa kombe la dunia na wimbo wa cocacola
Diamond anaimba wimbo wa cocCola kwa sababu ni balozi wa coca.
Ulisapoti na kumubea??KOMBE LA DUNIA.
Diamond Platnumz ameteuliwa na Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) kuwa miongoni mwa wasanii watakao perform kwenye uzinduzi wa Kombe La Dunia nchini Urusi.![]()
Vile vile,Katika kombe la dunia hilo Diamond Platnumz watakutana na wasanii kama JasonDarulo,CassperNyovest na wasanii wengine wengi kutoka nchi mbali mbali zikiwemo Uganda,Ethiopia,na Msumbiji katika wimbo uitwao [HASHTAG]#COLOR[/HASHTAG],unatarajia kutoka mapema tarehe 16 March mwezi huu.
![]()
Huo ni miongoni mwa uwanja uliopo nchini Urusi.
Kikubwa watanzania wenzangu Tusuport na kumuombea sana maana nchi yetu tulidharauliwa sana kila nyanja kupitia Diamond Platnumz ,Now tuko kwenye Ramani ya Dunia.
Hongera zake akapeperushe Bendera yetu vyema
Ahahahaaaaa tuliingizwa cha kikeHongera zake
Ahahaa usinikumbusheAhahahaaaaa tuliingizwa cha kike
Kijana akajikausha utadhani sio yeye alikuwa anajitapaAhahaa usinikumbushe
Ahahahaaaaaa kijana alituingiza cha kikeHii nyimbo inatoka lini???
Ahahahaaaaaa kijana alituingiza cha kike
Hakuonekana kule Russia wala TandaleKivipi?
Mlielewa vibaya, kombe la dunia la 2022 ndilo atalo pafomu
Ulisapoti na kumubea??
Mkuu vinci' hyo poster inaonesha 18' mambo ya 2022 bado sana. Vipi jamaa aliamua kumfunga kamba hadi mwakyembe?Mlielewa vibaya, kombe la dunia la 2022 ndilo atalo pafomu
D ni mseee sana mkuu liongo balaaa.Mkuu vinci' hyo poster inaonesha 18' mambo ya 2022 bado sana. Vipi jamaa aliamua kumfunga kamba hadi mwakyembe?
Hahahaha mkuu wa wizara kapigwa changa. Sembuse sisi, tumvumilie tuu bana tutafanyaje sasa ndo tuliyepewa huyoD ni mseee sana mkuu liongo balaaa.
Alinifanya niangalie ile mechi ya kiboya saudia na Rusia nikijua ataanza yy kutumbwiza. Baadae nikasubir toka saa 9 siku ya final lakini wapii
D ni mseee sana mkuu liongo balaaa.
Alinifanya niangalie ile mechi ya kiboya saudia na Rusia nikijua ataanza yy kutumbwiza. Baadae nikasubir toka saa 9 siku ya final lakini wapii
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Huyu Jamaa kila Siku anapigwa ' majungu ' na ' Wazawa ' kabisa ila nilichogundua wenye ' akili ' zao kubwa huko nje ya mipaka ya Tanzania wanatambua sana Kipaji chake na uwezo wako kama Mwanamuziki. Kwa hili sasa nadhani ni wakati muafaka kwa ' haters ' wake wote kuungana na wanaompenda ili kumuunga mkono azidi kufanikiwa zaidi na kuipeperusha vyema Bendera yetu ya Tanzania.
Hongera sana Nasib Abdul a.k.a Diamond Platnumz a.k.a Chibu Dangote na namuomba Mwenyezi Mungu azidi Kukubariki.
walichaguliwa kuimba tu na wimbo upo you tube siku nyingi tu