Diamond Platnumz achaguliwa na FIFA kushiriki wimbo wa Kombe la Dunia 2018

Diamond Platnumz achaguliwa na FIFA kushiriki wimbo wa Kombe la Dunia 2018

Huyu Jamaa kila Siku anapigwa ' majungu ' na ' Wazawa ' kabisa ila nilichogundua wenye ' akili ' zao kubwa huko nje ya mipaka ya Tanzania wanatambua sana Kipaji chake na uwezo wako kama Mwanamuziki. Kwa hili sasa nadhani ni wakati muafaka kwa ' haters ' wake wote kuungana na wanaompenda ili kumuunga mkono azidi kufanikiwa zaidi na kuipeperusha vyema Bendera yetu ya Tanzania.

Hongera sana Nasib Abdul a.k.a Diamond Platnumz a.k.a Chibu Dangote na namuomba Mwenyezi Mungu azidi Kukubariki.
akiba ya maneno ni kitu muhimu sana katika maisha
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Hadi Rais alimpongeza, sipatii picha Magu siku ya ufunguzi wa kombe la dunia aliposubiria kwa hamu kuona jamaa anaperform[emoji16][emoji16][emoji16]
Wale wale tu ote hawa ccm, huenda magu alijua toka day one kua jamaa hatakuepo ila wakaamua kutupiga changa
 
Back
Top Bottom