nteze john lungu
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 214
- 200
hahaaaaaaa kua na imani mkuuSiwezi kumwamini tena Diamond
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaaaaaaa kua na imani mkuuSiwezi kumwamini tena Diamond
akiba ya maneno ni kitu muhimu sana katika maishaHuyu Jamaa kila Siku anapigwa ' majungu ' na ' Wazawa ' kabisa ila nilichogundua wenye ' akili ' zao kubwa huko nje ya mipaka ya Tanzania wanatambua sana Kipaji chake na uwezo wako kama Mwanamuziki. Kwa hili sasa nadhani ni wakati muafaka kwa ' haters ' wake wote kuungana na wanaompenda ili kumuunga mkono azidi kufanikiwa zaidi na kuipeperusha vyema Bendera yetu ya Tanzania.
Hongera sana Nasib Abdul a.k.a Diamond Platnumz a.k.a Chibu Dangote na namuomba Mwenyezi Mungu azidi Kukubariki.
akiba ya maneno ni kitu muhimu sana katika maisha
hahaaaaaaa kua na imani mkuu
Hadi Rais alimpongeza, sipatii picha Magu siku ya ufunguzi wa kombe la dunia aliposubiria kwa hamu kuona jamaa anaperform[emoji16][emoji16][emoji16]Ahahahaaaaa tuliingizwa cha kike
Wote wanafanana mikatoHadi Rais alimpongeza, sipatii picha Magu siku ya ufunguzi wa kombe la dunia aliposubiria kwa hamu kuona jamaa anaperform[emoji16][emoji16][emoji16]
Wale wale tu ote hawa ccm, huenda magu alijua toka day one kua jamaa hatakuepo ila wakaamua kutupiga changaHadi Rais alimpongeza, sipatii picha Magu siku ya ufunguzi wa kombe la dunia aliposubiria kwa hamu kuona jamaa anaperform[emoji16][emoji16][emoji16]
Aye hii nayo kali
Hivi alishiriki mbona sikumuona!?