Diamond Platnumz achaguliwa na FIFA kushiriki wimbo wa Kombe la Dunia 2018

Ulisapoti na kumubea??
 
Mlielewa vibaya, kombe la dunia la 2022 ndilo atalo pafomu
 
Mkuu vinci' hyo poster inaonesha 18' mambo ya 2022 bado sana. Vipi jamaa aliamua kumfunga kamba hadi mwakyembe?
D ni mseee sana mkuu liongo balaaa.
Alinifanya niangalie ile mechi ya kiboya saudia na Rusia nikijua ataanza yy kutumbwiza. Baadae nikasubir toka saa 9 siku ya final lakini wapii
 
D ni mseee sana mkuu liongo balaaa.
Alinifanya niangalie ile mechi ya kiboya saudia na Rusia nikijua ataanza yy kutumbwiza. Baadae nikasubir toka saa 9 siku ya final lakini wapii
Hahahaha mkuu wa wizara kapigwa changa. Sembuse sisi, tumvumilie tuu bana tutafanyaje sasa ndo tuliyepewa huyo
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
walichaguliwa kuimba tu na wimbo upo you tube siku nyingi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…