FIFA World Cup 2018 Performers ListKOMBE LA DUNIA.
Diamond Platnumz ameteuliwa na Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) kuwa miongoni mwa wasanii watakao perform kwenye uzinduzi wa Kombe La Dunia nchini Urusi.
Vile vile,Katika kombe la dunia hilo Diamond Platnumz watakutana na wasanii kama JasonDarulo,CassperNyovest na wasanii wengine wengi kutoka nchi mbali mbali zikiwemo Uganda,Ethiopia,na Msumbiji katika wimbo uitwao [HASHTAG]#COLOR[/HASHTAG],unatarajia kutoka mapema tarehe 16 March mwezi huu.
Huo ni miongoni mwa uwanja uliopo nchini Urusi.
Kikubwa watanzania wenzangu Tusuport na kumuombea sana maana nchi yetu tulidharauliwa sana kila nyanja kupitia Diamond Platnumz ,Now tuko kwenye Ramani ya Dunia.
Hahhhhahhahahahahahahahaahaaa ngoja yule mwandika essay huku jf aje sijui kama ana mke manake 24/7 yupo jf kuandika essayFIFA World Cup 2018 Performers List
FIFA Opening Ceremony is one of the biggest events in sports. Celebrities from all over the world come in huge numbers and many celebs even perform on the Opening Ceremony Stage. 2014 Fifa World Cup Opening Ceremony saw Jennifer Lopez and Pitbull headlining the show. It will be interesting to see who will headline this edition of Fifa World Cup 2018 Opening Ceremony. It is expected the singer/musician of Fifa World Cup 2018 Theme Song will headline upcoming ceremony.ce Till now there is no official announcement on the list of celebrity performance at Fifa World Cup 2018 Opening Ceremony. We will update you with the latest information as soon as official announcements are made.
sijui unaweza kutusaidia source ya habari yako kaka?..au kuturembea picha ya huyo bwana mixer na mipira sijui na madude gani ndo unahisi utatuhadaa kirahisi...ilipofanyika AFRIKA KUSINI tupu bara lake hakuna mTanzania aliyepata nafas itakuwa leo Urus?
Derulo, Nyovest kuimba wimbo Kombe la Dunia 2018KOMBE LA DUNIA.
Diamond Platnumz ameteuliwa na Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) kuwa miongoni mwa wasanii watakao perform kwenye uzinduzi wa Kombe La Dunia nchini Urusi.
Vile vile,Katika kombe la dunia hilo Diamond Platnumz watakutana na wasanii kama JasonDarulo,CassperNyovest na wasanii wengine wengi kutoka nchi mbali mbali zikiwemo Uganda,Ethiopia,na Msumbiji katika wimbo uitwao [HASHTAG]#COLOR[/HASHTAG],unatarajia kutoka mapema tarehe 16 March mwezi huu.
Huo ni miongoni mwa uwanja uliopo nchini Urusi.
Kikubwa watanzania wenzangu Tusuport na kumuombea sana maana nchi yetu tulidharauliwa sana kila nyanja kupitia Diamond Platnumz ,Now tuko kwenye Ramani ya Dunia.
Mpuuz huyo akilala akaota anakuja kutuandikia ndoto zake JF.Hahhhhahhahahahahahahahaahaaa ngoja yule mwandika essau huku jf aje sijui kama ana mke manake 24/7 yupo jf kuandika essay
Derulo, Nyovest kuimba wimbo Kombe la Dunia 2018
Kuchapa
0 Comments
WASANII Jason Derulo wa Marekani na Cassper Nyovest wa Afrika Kusini wamechaguliwa kuimba wimbo rasmi wa Kombe la Dunia 2018.
Taarifa kutoka mtandao wa Coca-Cola imeeleza kuwa, wasanii hao wataimba wimbo wa ‘Colours’ ambao utakuwa wimbo rasmi utakaotumika kwenye michuano hiyo.
Wimbo wa ‘Colours’ unatarajiwa kuachiwa rasmi Machi 16 mwaka huu na utakuwa na vionjo kutoka Afrika na Kilatini.
Kwa upande wa msimamizi Brad Ross, amebainisha kuwa wamewaunganisha wasanii hao ili kuleta ubunifu na utofauti. Kwa kushirikiana na Jason Derulo, Coca-Cola wamewatumia wasanii kutoka Afrika Kusini, Switzerland, Saudi Arabia kutengeneza wimbo huo.
Fainali za kombe la dunia 2018 zinatarajiwa Urusi kuanzia Juni 14 mwaka huu.
KWANI LAZIMA MDANGANYE?
hizi evidence zinatoshaaa.......namsubiriaa tu baba ma essay aje kukujibu
Kama hiyo habari ni yakweli, kuna baadhi ya watanzania wasiopenda mafanikio yake wamechukia sanaHuyu Jamaa kila Siku anapigwa ' majungu ' na ' Wazawa ' kabisa ila nilichogundua wenye ' akili ' zao kubwa huko nje ya mipaka ya Tanzania wanatambua sana Kipaji chake na uwezo wako kama Mwanamuziki. Kwa hili sasa nadhani ni wakati muafaka kwa ' haters ' wake wote kuungana na wanaompenda ili kumuunga mkono azidi kufanikiwa zaidi na kuipeperusha vyema Bendera yetu ya Tanzania.
Hongera sana Nasib Abdul a.k.a Diamond Platnumz a.k.a Chibu Dangote na namuomba Mwenyezi Mungu azidi Kukubariki.
[emoji1]Ali Kiba ataperfom kwenye fainali lkn sema hapendi mauzo tu
yupo zake mombasa kwa gavana anakula mirungi na bangi .. na gavana keshamuoweya kiba..Ali Kiba ataperfom kwenye fainali lkn sema hapendi mauzo tu
Faida ya kuzaa na Zari hiyoHuyu Jamaa kila Siku anapigwa ' majungu ' na ' Wazawa ' kabisa ila nilichogundua wenye ' akili ' zao kubwa huko nje ya mipaka ya Tanzania wanatambua sana Kipaji chake na uwezo wako kama Mwanamuziki. Kwa hili sasa nadhani ni wakati muafaka kwa ' haters ' wake wote kuungana na wanaompenda ili kumuunga mkono azidi kufanikiwa zaidi na kuipeperusha vyema Bendera yetu ya Tanzania.
Hongera sana Nasib Abdul a.k.a Diamond Platnumz a.k.a Chibu Dangote na namuomba Mwenyezi Mungu azidi Kukubariki.
kumbe naww unamkubari chibuHuyu Jamaa kila Siku anapigwa ' majungu ' na ' Wazawa ' kabisa ila nilichogundua wenye ' akili ' zao kubwa huko nje ya mipaka ya Tanzania wanatambua sana Kipaji chake na uwezo wako kama Mwanamuziki. Kwa hili sasa nadhani ni wakati muafaka kwa ' haters ' wake wote kuungana na wanaompenda ili kumuunga mkono azidi kufanikiwa zaidi na kuipeperusha vyema Bendera yetu ya Tanzania.
Hongera sana Nasib Abdul a.k.a Diamond Platnumz a.k.a Chibu Dangote na namuomba Mwenyezi Mungu azidi Kukubariki.
kumbe naww unamkubari chibu
unataka wavae kanzu auRamani ya Dunia na picha za wanawake wakiwa mat..ko nje kama video ya waka waka, jaleluya nk
Bora kukaa kimya kuliko kujifanya mjuaji,je ikija taarifa ya kweli utajificha wapi?FIFA World Cup 2018 Performers List