Diamond Platnumz achaguliwa na FIFA kushiriki wimbo wa Kombe la Dunia 2018

Diamond Platnumz achaguliwa na FIFA kushiriki wimbo wa Kombe la Dunia 2018

Mkuu umendanganya, sio kweli kuwa ataenda kutumbuiza kwenye kombe hilo ila ni miongoni mwa wasanii kutoka Africa watakaoingiza sauti katika wimbo maalumu wa kombe la Dunia huko Urusu ambo alopewa shavu kuuimba ni Jason.
 
American music icon Jason Joel Desrouleaux, also known professionally as Jason Derulo has been entrusted with the singing of the official anthem for the 2018 FIFA World Cup.

Derulo is a famous singer, songwriter and dancer who has sold over 30 million singles.

The development follows the illustrious footsteps of Shakira, Anastacia and Pitbull who performed at the previous editions.

For the uninitiated, Derulo is the man behind such songs as ‘Swalla’, ‘Wiggle’, ‘Tip Toe’, ‘Bubblegum’, ‘Trumpets’ and ‘Zipper’.

The 2018 World Cup song is called ‘Colors’ and without even listening to it we can confirm it’s a banal paean to inclusiveness, global coming-together and superficial sporting positivity.

Global music superstar Derulo will be creating the soundtrack to its 2018 FIFA World Cup campaign.

Derulo will also create the anthem “Colors”.

The song celebrates all of the vibrancy and excitement that comes with the arrival of the world’s biggest football tournament.

Jason1.jpg

Jason Joel Desrouleaux
Top artistes from South Africa, Tanzania, Kenya, Ethiopia, Mozambique and Uganda were also invited to create uniquely African versions of the anthem for each country to celebrate people’s passion for football through music.

“I was honoured to create an anthem celebrating every team and their fans. ‘Colors’ represents the different flags and cultures from around the world,” Jason Derulo said.

Derulo rose through the ranks and became famous worldwide after his debut single ‘Whatcha Say’ was released in August 2009.

It peaked at Number 1 in the US as well as New Zealand.

This song sold in excess of 5 million downloads
 
Msanii wa bongo fleva Nasibu maarufu kwa jina Diamond platinum ambae anatokea kundi la Wasafi amechaguliwa na fifa kutunga nyimbo kwa ajili ya kombe la dunia litakalo fanyika nchini Russia, akiwa yeye pamoja na msanii wa muziki Jason Darulo.
ed8a42e300f9be5d4e7b307899ea322b.jpg
 
Mkuu umendanganya, sio kweli kuwa ataenda kutumbuiza kwenye kombe hilo ila ni miongoni mwa wasanii kutoka Africa watakaoingiza sauti katika wimbo maalumu wa kombe la Dunia huko Urusu ambo alopewa shavu kuuimba ni Jason.
Cha msingi ni kwamba Chibu anaiwakilisha Tanzania kwenye world Cup.
 
haka kajamaa kanafanya vizuri sana kanastahili pongezi hata kama hatutaki!
fikiria elimu yake na pia sio mtoto wa kishure ila anatubuluza kwa mkwanja ile mbaya wasomi wamebaki na bahasha za kaki na kumlalamikia Magu eti posho haipandi yeye yuleee!
mkisema mchawi na ninyi mnaroga kupita kiasi mpaka chekeche la vyeti hewa haliwaoni.
 
Msanii wa bongo fleva Nasibu maarufu kwa jina Diamond platinum ambae anatokea kundi la Wasafi amechaguliwa na fifa kutunga nyimbo kwa ajili ya kombe la dunia litakalo fanyika nchini Russia, akiwa yeye pamoja na msanii wa muziki Jason Darulo.
ed8a42e300f9be5d4e7b307899ea322b.jpg
Hata Kiba amechaguliwa kutunga wimbo wa Dondo Cup sema tu yeye hapendi kujitangaza [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hongera DP kwa mafanikio makubwa sana. Tunga wimbo ambao utaitikisa dunia nzima na kukuongezea umaarufu wako kila kona ya dunia.

Msanii wa bongo fleva Nasibu maarufu kwa jina Diamond platinum ambae anatokea kundi la Wasafi amechaguliwa na fifa kutunga nyimbo kwa ajili ya kombe la dunia litakalo fanyika nchini Russia, akiwa yeye pamoja na msanii wa muziki Jason Darulo.
ed8a42e300f9be5d4e7b307899ea322b.jpg
 
Hongera kwake ila aache kutunga nyimbo zenye ujumbe wa kufadhaisha tu...atunge na kuhimiza vijana na walimwengu kwa ujumla kujiletea maendeleo.
====
Kazi yake mpya ya fifa. Kazi kubwa anayo ukiangalia na muda aliobaki nao.
 
Huyu Jamaa kila Siku anapigwa ' majungu ' na ' Wazawa ' kabisa ila nilichogundua wenye ' akili ' zao kubwa huko nje ya mipaka ya Tanzania wanatambua sana Kipaji chake na uwezo wako kama Mwanamuziki. Kwa hili sasa nadhani ni wakati muafaka kwa ' haters ' wake wote kuungana na wanaompenda ili kumuunga mkono azidi kufanikiwa zaidi na kuipeperusha vyema Bendera yetu ya Tanzania.

Hongera sana Nasib Abdul a.k.a Diamond Platnumz a.k.a Chibu Dangote na namuomba Mwenyezi Mungu azidi Kukubariki.

Za kunyapianyapia kutoka Huku kwetu mji kasoro meli zinasema eti Hili fagio lako ulilolitoa kwa huyu dogo ni tu kwa kuwa unatafuta ajira wasafi TV and redio ukizingatia wewe ni Guru talented kabisa katika tasnia ya Habari hapa nchini
 
Back
Top Bottom