Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nimecheka kwa sauti..Ali Kiba ataperfom kwenye fainali lkn sema hapendi mauzo tu
Da mange,diamond ataimba nyimbo ya kusaga halafu Ruge bado meneja wa diamond si unaona diamond bado anatusua tu,I'd my ID..plzDa mange, ndugu yetu chibu ataimba ufunguzi World Cup Russia
Hide my ID please
do! hii mpya kabisa kwahiyo wasomi wote wapigaji? lakini kama kunaukweli fulani kasoro hapa madaktari na wauguzi pamoja na waalimu waliobaki wote wapigaji mfano, wahandisi wanatengeneza vitu dhaifu si kwa malipo ila wale wa yale majengo ya TBA hawamo, wanasheria inayemlipa ndo mshindi,wahasibu ndo usiseme hawa ni balaaa wapigaji mpaka hospitali mara nyingi hawakosekani mahakamani kweli bana!Kuna msomi mmoja hapo juu tena kwa level ya digrii ni mshabiki wake wa kutupwa.Elimu ni nyenzo tu ya kukuingiza kwenye tabaka la wanyonyaji na ukifanikiwa kuingia humo utatusua tu.Kipaji hakijawahi kulingana na usomi,kipaji kiko juu,acha tuendelee na kumshsbikia Messi
We jamaa uko vizuri kwenye masikhara sema uccm unakupoteza mmaeAli Kiba ataperfom kwenye fainali lkn sema hapendi mauzo tu
Uliiona ile ya afcon??nadhani aliwaficha wenzie wotewamekosa mtu wanapeleka huyo jinga,,,,,,tujiandae kuaibika linaweza kwenda kule kutafuta wanawake
Fainali zipi hizo? Za ndanda na mbao au?Ali Kiba ataperfom kwenye fainali lkn sema hapendi mauzo tu
hahahahDa mange,diamond ataimba nyimbo ya kusaga halafu Ruge bado meneja wa diamond si unaona diamond bado anatusua tu,I'd my ID..plz
Ni mwanamuziki pekee Tanzania anayejua kucheza na soko.Huyu Jamaa kila Siku anapigwa ' majungu ' na ' Wazawa ' kabisa ila nilichogundua wenye ' akili ' zao kubwa huko nje ya mipaka ya Tanzania wanatambua sana Kipaji chake na uwezo wako kama Mwanamuziki. Kwa hili sasa nadhani ni wakati muafaka kwa ' haters ' wake wote kuungana na wanaompenda ili kumuunga mkono azidi kufanikiwa zaidi na kuipeperusha vyema Bendera yetu ya Tanzania.
Hongera sana Nasib Abdul a.k.a Diamond Platnumz a.k.a Chibu Dangote na namuomba Mwenyezi Mungu azidi Kukubariki.
[emoji23] [emoji23] kweli kabisaAli Kiba ataperfom kwenye fainali lkn sema hapendi mauzo tu
Ha ha ha ha ha ha....mdogo wangu bhana! Hapana ila ninamkubali mno ' Ndomo ' kutokana na Kazi zake nzuri na za ukweli.