Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiringo Sampuli....Hahhhhahhahahahahahahahaahaaa ngoja yule mwandika essay huku jf aje sijui kama ana mke manake 24/7 yupo jf kuandika essay
kwenye harusiTeam kiba mko wapi?
Cha msingi ni kwamba Chibu anaiwakilisha Tanzania kwenye world Cup.Mkuu umendanganya, sio kweli kuwa ataenda kutumbuiza kwenye kombe hilo ila ni miongoni mwa wasanii kutoka Africa watakaoingiza sauti katika wimbo maalumu wa kombe la Dunia huko Urusu ambo alopewa shavu kuuimba ni Jason.
Hata Kiba amechaguliwa kutunga wimbo wa Dondo Cup sema tu yeye hapendi kujitangaza [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Msanii wa bongo fleva Nasibu maarufu kwa jina Diamond platinum ambae anatokea kundi la Wasafi amechaguliwa na fifa kutunga nyimbo kwa ajili ya kombe la dunia litakalo fanyika nchini Russia, akiwa yeye pamoja na msanii wa muziki Jason Darulo.![]()
Msanii wa bongo fleva Nasibu maarufu kwa jina Diamond platinum ambae anatokea kundi la Wasafi amechaguliwa na fifa kutunga nyimbo kwa ajili ya kombe la dunia litakalo fanyika nchini Russia, akiwa yeye pamoja na msanii wa muziki Jason Darulo.![]()
Huyu Jamaa kila Siku anapigwa ' majungu ' na ' Wazawa ' kabisa ila nilichogundua wenye ' akili ' zao kubwa huko nje ya mipaka ya Tanzania wanatambua sana Kipaji chake na uwezo wako kama Mwanamuziki. Kwa hili sasa nadhani ni wakati muafaka kwa ' haters ' wake wote kuungana na wanaompenda ili kumuunga mkono azidi kufanikiwa zaidi na kuipeperusha vyema Bendera yetu ya Tanzania.
Hongera sana Nasib Abdul a.k.a Diamond Platnumz a.k.a Chibu Dangote na namuomba Mwenyezi Mungu azidi Kukubariki.