Diamond Platnumz achaguliwa na FIFA kushiriki wimbo wa Kombe la Dunia 2018

Mkuu umemaliza kila kitu. Asante sana, Thank you Diamond Platnumz
 

Hii ndo source ya habari yangu na pia pitia account ya diamond platnumz uko instargram kapost leo sema JF ndo wa kwanza kuipata habari hii.
 
 
Nimezituma hizo tweets sababu nimesoma baadhi ya comments za watu wanasema hii habari ni ya uwongo,Ushahidi tayari nimetuma leteni kingine na ukumbuke uko tweeter hakuonogi wanatweets tu hii habari ya na Diamond na FifaWorldCup.
 
Ko sisi tunapeleka msanii badala ya wachezaji mwakyembe ajiuzulu
 
au ndo maana [HASHTAG]#Kwangwaru[/HASHTAG] ya Harmonize x Diamond ikasogezwa mbele nini?! maana tumeambiwa until further notice...nazani hii ngoma ndo sababu wanataka wahamishie attention ya mashabiki woote kwenye hizi "Rangi rangi" za kombe la dunia.

Hongera chibu.
 
Umeona ehh!
Aisee aliyeandikiwa mbili, awezi kuvaa mmoja!
Riziki ya Mola binadamu hawezi ondoa hata akifanya nini!
 
Mkuu umendanganya, sio kweli kuwa ataenda kutumbuiza kwenye kombe hilo ila ni miongoni mwa wasanii kutoka Africa watakaoingiza sauti katika wimbo maalumu wa kombe la Dunia huko Urusu ambo alopewa shavu kuuimba ni Jason.
Mkuu kawaida ya World Cup lazima kuwe na performance mwanzo wa mashindano na cku ya fainali so it's obvious Mond ataperform coz ndo official World Cup song
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…