Diamond Platnumz achaguliwa na FIFA kushiriki wimbo wa Kombe la Dunia 2018

Diamond Platnumz achaguliwa na FIFA kushiriki wimbo wa Kombe la Dunia 2018

Huyu Jamaa kila Siku anapigwa ' majungu ' na ' Wazawa ' kabisa ila nilichogundua wenye ' akili ' zao kubwa huko nje ya mipaka ya Tanzania wanatambua sana Kipaji chake na uwezo wako kama Mwanamuziki. Kwa hili sasa nadhani ni wakati muafaka kwa ' haters ' wake wote kuungana na wanaompenda ili kumuunga mkono azidi kufanikiwa zaidi na kuipeperusha vyema Bendera yetu ya Tanzania.

Hongera sana Nasib Abdul a.k.a Diamond Platnumz a.k.a Chibu Dangote na namuomba Mwenyezi Mungu azidi Kukubariki.
Ni kawaida tu kutokubalika na watu wote.Mungu mwenyewe kuna watu hawamkubali,itakuwa Diamond?
 
FIFA World Cup 2018 Performers List
FIFA Opening Ceremony is one of the biggest events in sports. Celebrities from all over the world come in huge numbers and many celebs even perform on the Opening Ceremony Stage. 2014 Fifa World Cup Opening Ceremony saw Jennifer Lopez and Pitbull headlining the show. It will be interesting to see who will headline this edition of Fifa World Cup 2018 Opening Ceremony. It is expected the singer/musician of Fifa World Cup 2018 Theme Song will headline upcoming ceremony.ce Till now there is no official announcement on the list of celebrity performance at Fifa World Cup 2018 Opening Ceremony. We will update you with the latest information as soon as official announcements are made.

sijui unaweza kutusaidia source ya habari yako kaka?..au kuturembea picha ya huyo bwana mixer na mipira sijui na madude gani ndo unahisi utatuhadaa kirahisi...ilipofanyika AFRIKA KUSINI tupu bara lake hakuna mTanzania aliyepata nafas itakuwa leo Urus?
You just wait time will tell,sio siku nyingi sana mpaka nyimbo hiyo iachiliwe.
 
Hii ni habari njema sana kwa sisi Watanzania wapenda maendeleo ya vijana wetu...... kama ni habari ya kweli••••• maana hawa wasanii wa kibongo mara nyingi wamekuwa wakijitekenya na kucheka wenyewe.
 
Umeandika kwa Mahaba sana, FIFA si waliyomchagua, Amechaguliwa na Coca Cola Akiwa Kama Brand Ambassador kwa Tanzania. Vile vile Coca-Cola ndo Main Sponsor wa World Cup 2018. So Diamond anaungana na Mabalozi wa Coca-Cola Brand Kutoka Nchi Nyinginezo tajwa. Nadhani Nimeeleweka. Pia nimemjibu na ambaye amehoji kuhusu Why Alikiba asiteuliwe, Sababu ni hiyo Moja, kua yeye balozi wa Coca-Cola Brand.
 
KOMBE LA DUNIA.
Diamond Platnumz ameteuliwa na Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) kuwa miongoni mwa wasanii watakao perform kwenye uzinduzi wa Kombe La Dunia nchini Urusi.
84c95c7c5b3f76b38c2252cfe8737e31.jpg

Vile vile,Katika kombe la dunia hilo Diamond Platnumz watakutana na wasanii kama JasonDarulo,CassperNyovest na wasanii wengine wengi kutoka nchi mbali mbali zikiwemo Uganda,Ethiopia,na Msumbiji katika wimbo uitwao [HASHTAG]#COLOR[/HASHTAG],unatarajia kutoka mapema tarehe 16 March mwezi huu.
20333f06e3fb87930a0e0ba69f86c611.jpg

Huo ni miongoni mwa uwanja uliopo nchini Urusi.

Kikubwa watanzania wenzangu Tusuport na kumuombea sana maana nchi yetu tulidharauliwa sana kila nyanja kupitia Diamond Platnumz ,Now tuko kwenye Ramani ya Dunia.
Kiba aitwag kwenye shoo za bata yeye muulizie Vegas, [BCarlifoniaTexas/B] Utamkuta uko kwenye mastage
 
up1PaT3.jpg

Hatimae kijana wetu ambaye ni nembo ya taifa katika tasnia ya muziki katuwakilisha na kutuweka kwenye ramani ya dunia

Ikiwa ni siku chache zimebaki kwa kombe la dunia kuanza msanii Diamond Platnumz kwa kushirikiana na Msanii maarufu wa Marekani, Jason Derulo wametoa ngoma itakayochezwa katika matangazo ya kombe la dunia

Kwa hakika hii nyimbo itatutangaza Tanzania katika masikio na mboni za mabilioni ya watu waanaosubirira kwa hamu kombe la dunia😎😎 Ni kazi maridhawa kabisa inayoenda kwa jina la "colours"

Kwa sasa ni audio pekee imetoka, Tujivunie vya kwetu na tufurahie juu ya hii rasilimali ambayo Tanzania tumeipata

MINYA HAPA KUUSIKILIZA
 

Attachments

Hatimae kijana wetu ambaye ni nembo ya taifa katika tasnia ya muziki katuwakilisha na kutuweka kwenye ramani ya dunia, Ikiwa ni siku chache zimebaki kwa kombe la dunia kuanza msanii Diamond Platnumz katoa ngoma itakayochezwa katika matangazo ya kombe la dunia, msanii maarufu kutoka marekani Kijana wetu Diamond Platnumz kipenzi cha watu kashirikiana na Jason Derulo ili kunogesha zaidi kombe la Dunia kwa kutupa burudani maridhawa kupitia nyimbo inayoitwa "colours" itayokuwa ikitumika kuhamasisha utazamaji na kutumia katika matangazo ya kombe la Dunia...

Kwa sasa ni audio pekee imetoka, Tujivunie vya kwetu na tufurahie juu ya hii rasilimali ambayo Tanzania tumeipata
Mkuu hii itakuwa Remix?
Mbona Colours Jason Derulo kesha iachia ikiwa na Video kabisa
 
Hii Ni project mwendelezo mkuu kuna zingine zimeshatoka kuna project yupo na MALUMA na ingine yupo na cassper nyovest and now kijana wetu diamond
 
Hii Ni project mwendelezo mkuu kuna zingine zimeshatoka kuna project yupo na MALUMA na ingine yupo na cassper nyovest and now kijana wetu diamond
Yeah ni kweli mkuu, Kwa ujumla zote zitachezwa mbele ya mabilioni ya watu watakaokua wakifatilia kombe la dunia, Zitakua zinapoekezana katika matangazo
 
Back
Top Bottom