Diamond Platnumz achaguliwa na FIFA kushiriki wimbo wa Kombe la Dunia 2018

Diamond Platnumz achaguliwa na FIFA kushiriki wimbo wa Kombe la Dunia 2018

Mamb ni [emoji91] [emoji91] [emoji91] ule wimbo was kombe LA dunia upo tayr ambao na DIAMOND PLATINUM yupo

up1PaT3.jpg

Hatimae kijana wetu ambaye ni nembo ya taifa katika tasnia ya muziki katuwakilisha na kutuweka kwenye ramani ya dunia

Ikiwa ni siku chache zimebaki kwa kombe la dunia kuanza msanii Diamond Platnumz kwa kushirikiana na Msanii maarufu wa Marekani, Jason Derulo wametoa ngoma itakayochezwa katika matangazo ya kombe la dunia

Kwa hakika hii nyimbo itatutangaza Tanzania katika masikio na mboni za mabilioni ya watu waanaosubirira kwa hamu kombe la dunia😎😎 Ni kazi maridhawa kabisa inayoenda kwa jina la "colours"

Kwa sasa ni audio pekee imetoka, Tujivunie vya kwetu na tufurahie juu ya hii rasilimali ambayo Tanzania tumeipata

Mbona hakuns sehem iliyotajwa tz?
 
Ilitakiwa nyimbo ya diamond. Sio kumpeleka kijana wetu halafu akafanye covering ya nyimbo ya mtu mwingine
 
Zote zitatumika😉😉 mara ya kwanza alikuwepo jason derulo peke yake, Diamond platnumz vile alivyo mjanja mjanja akaomba nae awepo kenye emix, Jason hakuweza kukataa kwa sababu ni mshkaji wake diamond so akaamua kumoa pande mjanja wa tandale.. Kijana wetu anapambana sana kuhakisha Tanzania inafika mbali kimuziki, Watanzania hatukuwai kufikiria kama tungekuwa na msanii ambaye ataonekana katika matangazo ya kombe la dunia.

Kwa mara nyingine tena DIAMOND PLATNUMZ kafanya ambayo watanzania wengi hatukufikiria yangewezekana😉😉
 
Diamond hakumuomba Jason bali former creative director of MTV Base Tim Horwood alipewa kazi ya kuchagua wasanii kufanya kazi na Jason na hiyo project Diamond kalipwa kufanya nyimbo na kuperform (Refer intv with lil ommy) .Daimond hakumuomba darulo bali uwezo wake ndio umemuwezesha kuwepo ktk hiyo list.
 
Back
Top Bottom