George Betram
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 4,672
- 6,272
Ahahaaaah...Hata Wewe una Mbichwa mkubwa kama Pumbu za Tembo Dume lakini una akili ndogo kama mavi ya Mjusi Balanguru.
a ha ha like serious?Joyce kiria nae ameteuliwa
Ni kawaida tu kutokubalika na watu wote.Mungu mwenyewe kuna watu hawamkubali,itakuwa Diamond?Huyu Jamaa kila Siku anapigwa ' majungu ' na ' Wazawa ' kabisa ila nilichogundua wenye ' akili ' zao kubwa huko nje ya mipaka ya Tanzania wanatambua sana Kipaji chake na uwezo wako kama Mwanamuziki. Kwa hili sasa nadhani ni wakati muafaka kwa ' haters ' wake wote kuungana na wanaompenda ili kumuunga mkono azidi kufanikiwa zaidi na kuipeperusha vyema Bendera yetu ya Tanzania.
Hongera sana Nasib Abdul a.k.a Diamond Platnumz a.k.a Chibu Dangote na namuomba Mwenyezi Mungu azidi Kukubariki.
Ali Kiba ataperfom kwenye fainali lkn sema hapendi mauzo tu
You just wait time will tell,sio siku nyingi sana mpaka nyimbo hiyo iachiliwe.FIFA World Cup 2018 Performers List
FIFA Opening Ceremony is one of the biggest events in sports. Celebrities from all over the world come in huge numbers and many celebs even perform on the Opening Ceremony Stage. 2014 Fifa World Cup Opening Ceremony saw Jennifer Lopez and Pitbull headlining the show. It will be interesting to see who will headline this edition of Fifa World Cup 2018 Opening Ceremony. It is expected the singer/musician of Fifa World Cup 2018 Theme Song will headline upcoming ceremony.ce Till now there is no official announcement on the list of celebrity performance at Fifa World Cup 2018 Opening Ceremony. We will update you with the latest information as soon as official announcements are made.
sijui unaweza kutusaidia source ya habari yako kaka?..au kuturembea picha ya huyo bwana mixer na mipira sijui na madude gani ndo unahisi utatuhadaa kirahisi...ilipofanyika AFRIKA KUSINI tupu bara lake hakuna mTanzania aliyepata nafas itakuwa leo Urus?
Kachukue tena yawe mahela mengi mengiiKwa hiyo mkuu tukachukue mahari kwa Genty?
Kiba aitwag kwenye shoo za bata yeye muulizie Vegas, [BCarlifoniaTexas/B] Utamkuta uko kwenye mastageKOMBE LA DUNIA.
Diamond Platnumz ameteuliwa na Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) kuwa miongoni mwa wasanii watakao perform kwenye uzinduzi wa Kombe La Dunia nchini Urusi.
Vile vile,Katika kombe la dunia hilo Diamond Platnumz watakutana na wasanii kama JasonDarulo,CassperNyovest na wasanii wengine wengi kutoka nchi mbali mbali zikiwemo Uganda,Ethiopia,na Msumbiji katika wimbo uitwao [HASHTAG]#COLOR[/HASHTAG],unatarajia kutoka mapema tarehe 16 March mwezi huu.
Huo ni miongoni mwa uwanja uliopo nchini Urusi.
Kikubwa watanzania wenzangu Tusuport na kumuombea sana maana nchi yetu tulidharauliwa sana kila nyanja kupitia Diamond Platnumz ,Now tuko kwenye Ramani ya Dunia.
Mkuu hii itakuwa Remix?Hatimae kijana wetu ambaye ni nembo ya taifa katika tasnia ya muziki katuwakilisha na kutuweka kwenye ramani ya dunia, Ikiwa ni siku chache zimebaki kwa kombe la dunia kuanza msanii Diamond Platnumz katoa ngoma itakayochezwa katika matangazo ya kombe la dunia, msanii maarufu kutoka marekani Kijana wetu Diamond Platnumz kipenzi cha watu kashirikiana na Jason Derulo ili kunogesha zaidi kombe la Dunia kwa kutupa burudani maridhawa kupitia nyimbo inayoitwa "colours" itayokuwa ikitumika kuhamasisha utazamaji na kutumia katika matangazo ya kombe la Dunia...
Kwa sasa ni audio pekee imetoka, Tujivunie vya kwetu na tufurahie juu ya hii rasilimali ambayo Tanzania tumeipata
Boss nshaiwekaWeka basi tusikilize.
Na hii pia itatumikaMkuu hii itakuwa Remix?
Mbona Colours mbona Jason Derulo kesha i realize ikiwa na Video kabisa
Yeah ni kweli mkuu, Kwa ujumla zote zitachezwa mbele ya mabilioni ya watu watakaokua wakifatilia kombe la dunia, Zitakua zinapoekezana katika matangazoHii Ni project mwendelezo mkuu kuna zingine zimeshatoka kuna project yupo na MALUMA na ingine yupo na cassper nyovest and now kijana wetu diamond