Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Inaonekana nandy anawachukiza sana. Kwani ubalozi gani unaouulizia ambao nandy hana?nimekutajia huyo au ulitegemea nikutajie kiba au harmo ili upovuke zaidi? zuchu namuona zaidi kwenye mabango ya wasafi bet kuliko hizo deal unazozitaja
Lavalava ana dili la uber, Zuchu ni balozi wa infinix pamoja na kampuni ya nywele na vipodozi za ngozi, sasa best queen darling nae ni msanii au yupo pale kwasababu ni ndugu wa diamond? Nimekuuliza nitajie msanii aliyemzidi diamond kwa ubalozi unasema Nandy upo serious kweli? au ujaelewa swali langu