Midekoo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2015
- 45,757
- 246,786
Wanapewa 5. Ndio hyo wanatoka nayo kiuhalisia uwezi kutoka sehemu yenye maslahi MTU anaikubali Mia mbovu kuliko elfu kumi ya lawama , nyie ndio wale mko Radhi kufa na tai shingoni kiuhalisia hamna faida zaidi ya Jina kubwa.Wangekuwa hawapati hiyo 40 wasingekuwa wanatoka wakiwa na hela wangekuwa wanatoka makapuku tuache kuingiza chuki kwenye mambo ambayo yapo wazi