Acha kuamini uongo.....perfume moja ya Chibu sh 105,000 akiuza perfume elfu kumi anakua ina pato la sh bilioni 1.05
Anauza nyimbo wasafi.com sh 300 akiuza nyimbo 1,000,000 anakua na pato la sh 300,000,000
anafanya biashara za matangazo na Vodacom,cocacola,GSM etc
Bado unauliza inakuaje anadaiwa deni hilo
Pia kikubwa kijana yuko Legit vitu vyake vyote vinajulikana kisheria sio kama wabongo fleva wengine wanakwepa kilipa kodi
Ulitoa au mboyoyo tu ? kama zimeliwa mbona waliochanga wako kmya ?
uongo upi sasaAcha kuamini uongo.....
Diamond anadaiwa 400Mil na TRAHizi sasa chuki binafsi
Weka uthibitishommi nilichanga ndiyomaana siko kimya.
CCM rudisheni rambirambi za Bukoba mlizokula.
Ww una chuki taja sehemu 3 anazo daiwa Diamond.....Na hata hii ya TRA nani afisa wa TRA alie semaHuyu kijana alitumia gharama kubwa kumtengeneza bwana chibu akitarajia faida kubwa lakini alichotarajia kimekuwa ndivyo sivyo. Kwa sasa dogo anadaiwa kila kona. Namuomba Magufuli asimpendelee katk hili akanyage twende
bashite ndo mshauri wakeDiamond anachitakiwa kuwa nacho ni kuwa na mshauri wa kodi. Atamsaidia mengi badala ya kulalamika. Ukijipanga vema kodi inalipika.
diamond hadaiwi ila gazeti linatafuta kiki, kuuzikaKanunue gazeti la nipashe la leo kwa Maelezo zaidi
View attachment 506532