Diamond Platnumz adaiwa kodi Sh. Milioni 400 na TRA

Diamond Platnumz adaiwa kodi Sh. Milioni 400 na TRA

perfume moja ya Chibu sh 105,000 akiuza perfume elfu kumi anakua ina pato la sh bilioni 1.05

Anauza nyimbo wasafi.com sh 300 akiuza nyimbo 1,000,000 anakua na pato la sh 300,000,000

anafanya biashara za matangazo na Vodacom,cocacola,GSM etc

Bado unauliza inakuaje anadaiwa deni hilo

Pia kikubwa kijana yuko Legit vitu vyake vyote vinajulikana kisheria sio kama wabongo fleva wengine wanakwepa kilipa kodi
Acha kuamini uongo.....
 
Huyu kijana alitumia gharama kubwa kumtengeneza bwana chibu akitarajia faida kubwa lakini alichotarajia kimekuwa ndivyo sivyo. Kwa sasa dogo anadaiwa kila kona. Namuomba Magufuli asimpendelee katk hili akanyage twende
 
Hii Habari ina utata na Utata unapokuja ni kuwa Alie toa hizi taarifa ni mwana siasa yaani Mbunge! Na mbunge sijui kama anakuwa anajua Mambo ya TRA....nadhani Mamlaka husika ndio zilitakiwa Kusema kuwa Diamond anadaiwa kiasi hicho na hatua gani zimechukuliwa....Kuna baadhi ya wabunge huwa wanapenda kuonekana

Kwa serikali hii na Diamond alitwambia kwa mwezi analipa kodi millioni 35.....ukigawanya 400 kwa 35 utapa miezi 11 sasa jiulize Je kwa serikali hii utakaa miezi 11 bila kulipa Kodi??? Lazima Tuwe tunajiuliza vitu vingi

Na Si dhani hata kama ni kweli ila si sahihi kumcheka kijana mdogo kama Diamond anae hangaika kila siku kutafuta hela na suala la Kodi!!!! Diamond amethubu kudaiwa million 400 za Kodi msanii gani mwingine anaweza kufikia hukoo

Wengine watakufa hizo million 400 hawajazimiliki!!!!

Na hesabu za haraka haraka ni kuwa mtu kama anadaiwa kodi Millioni 400 means kiasi cha pesa alicho ingiza ni zaidi ya Millioni 900.....Sasa jiulize wewe unae mcheka au unae msema vibaya umewahi pata hizo pesa au kuota......?????

Tubadirike na si dhani kama Bungeni ni mahali sahihi pakumsemea mtu kuwa anadaiwa Kodii.....tukisema tumtaje kila mtu anae daiwa kodiiii Bungeni mengine hayatafanyika

Danya
 
Huyu kijana alitumia gharama kubwa kumtengeneza bwana chibu akitarajia faida kubwa lakini alichotarajia kimekuwa ndivyo sivyo. Kwa sasa dogo anadaiwa kila kona. Namuomba Magufuli asimpendelee katk hili akanyage twende
Ww una chuki taja sehemu 3 anazo daiwa Diamond.....Na hata hii ya TRA nani afisa wa TRA alie sema
 
hahaha! ndo aache shobo za kutumiwa na bashite na sizonje hao jamaa ni wanyama hawanaga rafiki.
 
Back
Top Bottom