mzaramo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2006
- 6,371
- 5,186
Acha kuamini uongo.....perfume moja ya Chibu sh 105,000 akiuza perfume elfu kumi anakua ina pato la sh bilioni 1.05
Anauza nyimbo wasafi.com sh 300 akiuza nyimbo 1,000,000 anakua na pato la sh 300,000,000
anafanya biashara za matangazo na Vodacom,cocacola,GSM etc
Bado unauliza inakuaje anadaiwa deni hilo
Pia kikubwa kijana yuko Legit vitu vyake vyote vinajulikana kisheria sio kama wabongo fleva wengine wanakwepa kilipa kodi