Diamond Platnumz aeleza bifu yake na Ali Kiba ilivyosukwa ‘kumuua Kimuziki’

Diamond Platnumz aeleza bifu yake na Ali Kiba ilivyosukwa ‘kumuua Kimuziki’

anatafuta pa kushika, mana kashatelezaa.
leo siku ya tano nyimbo haijafikisha 2M viewers? tena collabo na msanii waarekani??

Kweli Clouds nawapa salute
Sio 2 millions hata 1 million haijafika mondi anausogelea mlango wa kutokea bila kujua
 
Leo siku ya tano ana views laki 7
Screenshot_20180321-134647.jpg
 
Ndio uka msaidie kaka yako kupunguza stress. Ila hizo kucha we mtoto umejaaliwa.[emoji5]
Kaligalambua alimalize mwenyewe..tutasaidia kuimba pale anapotoa wimbo mzuri basi

Thanx
 
Hayo mengine sawa lakini hiyo kusema hawezi kushuka kimuziki anajidanganya,ni swala la muda tu kwani huko nyuma kuna wasanii mbalimbali hata bendi zilikuwa juu kiasi cha kufikiria hivyo lakini hivi leo wamepotea kabisa katika ramani ya muziki na hata hawajulikani walipo.
Nilitaka kucomment kama wewe.
 
Komandoo anapambana na hali yake..ila kuna kitu mi bado najiuliza.
Hawa mawingu wanafanikiwa vipi kumuangusha msanii ilihali stations radio& tv zipo nyingi.!!?
Inamana wa tz wote wanaangalia na kusikiliza clouds tuuuu[emoji102]
Kuna siku tumewahi kujadili humu JF kuhusu hayo unayouliza. Tafuta uzi unaohusu details za ugomvi wa Sugu na Ruge. Utajifunza mengi. Kiufupi kuna syndicate mbaya kwenye muziki inayohusisha radio/tv stations, deejays, presenters na wasambazaji wa kazi zao, in such a way kwamba ukikosana na mmoja unakuwa umekosana na kundi kubwa nyuma yao! Naomba utafute hio thread niliyotaja hapo juu
 
Hakuna tofauti maana ukishuka mwenyewe ama ukishushwa hatimaye utakuwa umeshuka na kama huko kushushwa wewe au yeye mnaona haiwezekani huko ndio nimesema ni kujidanganya maana yeye si mtu tofauti na hao wengine waliowezekana hivyo ni swala la muda tu hakuna kinachodumu milele katika dunia hii.
Kama hufahamu tofauti kati ya KUSHUKA na KUSHUSHWA basi naomba tufunge mjadala...
 
anatafuta pa kushika, mana kashatelezaa.
leo siku ya tano nyimbo haijafikisha 2M viewers? tena collabo na msanii waarekani??

Kweli Clouds nawapa salute
Kweli clouds ina nguvu ndio maana wale wasanii wao akina Barnaba, Nandy etc nyimbo hufikisha 10M views in 3 days teh!
 
Mond ndio kila mara anaonekana anakuza bifu kati yao mara maneno ya vijembe kwenye mitandao mara kwenye nyimbo alizoshirikishwa anapiga vijembe. Halafu akihojiwa anasema hataki bifu.
Kweli aisee,
Sikia hii Remix ya Fresh jinsi Mondi alivyopiga vijembe
 
Attachments

Kwahiyo na vile vijembe na nyimbo za taarabu wanazoimbiana wanatungiwa na wanaowatengenezea beef?
 
Hayo mengine sawa lakini hiyo kusema hawezi kushuka kimuziki anajidanganya,ni swala la muda tu kwani huko nyuma kuna wasanii mbalimbali hata bendi zilikuwa juu kiasi cha kufikiria hivyo lakini hivi leo wamepotea kabisa katika ramani ya muziki na hata hawajulikani walipo.
Huwez jua anajiamini VP mkuu, maana lusifa ina nguvu kubwa sana
 
Back
Top Bottom