BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
- Thread starter
- #41
kwaio mpo mmekaa majumbani mwenu mnasubiri diamond afulie...aiseeeHakuna tofauti maana ukishuka mwenyewe ama ukishushwa hatimaye utakuwa umeshuka na kama huko kushushwa wewe au yeye mnaona haiwezekani huko ndio nimesema ni kujidanganya maana yeye si mtu tofauti na hao wengine waliowezekana hivyo ni swala la muda tu hakuna kinachodumu milele katika dunia hii.