Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 6,101
- 11,381
Unaweza kuwa namba moja ila uwezi kuwa namba moja milele.Hayo mengine sawa lakini hiyo kusema hawezi kushuka kimuziki anajidanganya,ni swala la muda tu kwani huko nyuma kuna wasanii mbalimbali hata bendi zilikuwa juu kiasi cha kufikiria hivyo lakini hivi leo wamepotea kabisa katika ramani ya muziki na hata hawajulikani walipo.
Inspekta haroon babu anasema'"mlipokuwepo nyinyi hata sisi tulikuwepo na tulipo sisi sasa hata nyie mtakuja"
Wapi Afande sele, juma nature, q chief, ferouz, Mb doggy, mr nice n.k