Diamond Platnumz aeleza bifu yake na Ali Kiba ilivyosukwa ‘kumuua Kimuziki’

kwaio mpo mmekaa majumbani mwenu mnasubiri diamond afulie...aiseee
 
Umeona mbali mkuu video za youtube zinamaliza sana mb na kwa hali ngumu ya maisha inachangia watu kutokurudia kutazama video mara mbili
 
Hakuna mtu mnafiki duniani kama le mutuz na diamond... hawa jamaa ni mabingwa wa kujampa na kuwasha feni
 
Kufulia kwake hakutonisaidia chochote ndugu yangu ila majigambo na kujikweza si vizuri,hiyo tu ndio rai yangu na ndicho nilichokusudia kukieleza kwa manufaa yake mwenyewe.
kwa kauli zako.naona kama wangojea kwa hamu ashuke mpate la kusema kwamba "si tulimuambia",...
kama.unataka kwa manufaa yake mwenyewe ingekua vyema umtafute personally umueleze kwa maoni yako kama ambavyo unaona hayuko sawa
 
Mond ndio kila mara anaonekana anakuza bifu kati yao mara maneno ya vijembe kwenye mitandao mara kwenye nyimbo alizoshirikishwa anapiga vijembe. Halafu akihojiwa anasema hataki bifu.
Labda hajui bifu ni nini.
 
mond sio wale wakusahau wew ..jama atakumhukwa na mnala wake utajengwa ... Mungu atujaliye uzima tu
 
Kwakuwa wewe uwa unakutana naye ila umeamua kuyaleta humu malalamiko yake ili upate mawazo tofauti basi naamini na yangu utayachukua umpelekee
siwez kufanya hivyo mana sina tatizo na yeye na siumii roho wala simchukii wala simnenei mabaya kama unavyofanya kijana mwenzangu aliyefanikiwa kimaisha.....
wewe ndio.una shida.naye yani unasubiri ashuke kimaisha mara unataka umshauri sjui eti kwa manufaa yake sasa unayesemea huku ni unafiki, mtafute kwa muda wako.umuambie au nenda instagram upande wa inbox mpe ujumbe wako labda maybe atausoma au nenda kwenye page yake sehem ya kukoment andika.koment pengine ataona.
 
anatafuta pa kushika, mana kashatelezaa.
leo siku ya tano nyimbo haijafikisha 2M viewers? tena collabo na msanii waarekani??

Kweli Clouds nawapa salute
Nikwel ila usisahau kama hyo video moja imetolewa kwenye account 3 tofauti kwenye youtube zipo 2 na vevo moja hvyo kila mtu anasearch anapotaka kabla ya kuongea hvyo ungejaribu kujumlisha viewer wote kwenye hzo account 3 uone kama hyo 2m haijafika au imepita .
 
Kwenye youtube ya kwanza ana 1.7m
Ya pili ana 70+
Vevo ana 50+
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…