Diamond Platnumz aeleza bifu yake na Ali Kiba ilivyosukwa ‘kumuua Kimuziki’

Unaweza kuwa namba moja ila uwezi kuwa namba moja milele.
Inspekta haroon babu anasema'"mlipokuwepo nyinyi hata sisi tulikuwepo na tulipo sisi sasa hata nyie mtakuja"
Wapi Afande sele, juma nature, q chief, ferouz, Mb doggy, mr nice n.k
 
hamna aliyekwaruzana na mtu hapa, tuna refer mnayoyaongea humu, kifupi ni kwamba unamchukia jamaa..kama unataka afaidike na ushaur wako.kwa manufaa yake kama ulivyosema basi muache unafiki kumuonyeshea chuki humu, muende tena hua anatoa email yake, mumtumie email asome. kwanini mnakuja kujifichia huku nyuma ya keyboard...
na zaidi sisi sio wajinga kama ulivyotuita hapo chini, tuna refer chuki za wazi mnazozionesha hapa kwa backup ya whatsocall ushauri
 
Mwamba anatafuta kila huruma ili albamu ichanje mbuga hakika dogo biashara anaiweza,soooon tutasikia alizaliwa bila uchungu yaani bi Sandra alishtukia tu kijana uyu hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…