ππDiamond ana stress za kula maunga EP imebuma Kama ya bonge la nyau
Diamond ana stress za kula maunga EP imebuma Kama ya bonge la nyau
Hela hipo ya huakika
Hivi kuna mtu anaongoza kutaja taja majina kwenye nyimbo zake kama huyo Domo Chai jaba?Namuunga mkono, kwa alipofika asishindane tena tz sababu watu wanatumia vibaya nafasi yake na effort aliyoweka ktk mziki wake wanataka shortcut kupanda kwa kumdhihaki na kujifananisha naye!
Kitu ambacho kinamshusha morali,wacha ashindane kwa watu wanapthamini mziki wake!
Imebidi ni log in ili tu nikupe like yako boss umetishakizuri ni kizuri tu. ni rahisi sana kukuta tangazo la Toyota kwenye tv kuliko kuona tangazo la Lamborghini. kiufupi ni mimi napenda muziki uwe mzuri wewe nakuachi izo sijui brand za muziki wa kitoto
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hio namba tatu embu ngoja kwanza tui list tuone
1. Wizkid
2. Burna boy
3. Davido
Alaf tuwaache madogo ambao wamepiga shows o2 arena hadi Marekani na wamepiga kolabo kubwa na watu kama wakina ed sheeran na justine bieber madogo hao ni Joe Boy, Fire Boy na wapopo wengine wengine kibao wakina simi nani na nani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] looh hio top 3 nadhani ndo ile kitu wabongo wanasema "ametupiga na kitu kizito".
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mond misifa
Ko unahisi kamzidi Davido? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwenye Tuzo kubwa kabisa ya BET si alikuwa nominated pamoja na Wizkid na Burnaboy au umesahau
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Atakaejaza watu wengi zuchu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hizo nchi gani madale, mbagara au tandale [emoji1787][emoji1787], ebu kuweni serious nchi 33 unajua unachoongea wewe?
Kwaio hata mimi msanii chipukizi nikitoa nyimbo na Rihanna leo ntakua juu ya Diamond kisa yy hajatoa nyimbo nae....acha ulimbukeniHio namba tatu embu ngoja kwanza tui list tuone
1. Wizkid
2. Burna boy
3. Davido
Alaf tuwaache madogo ambao wamepiga shows o2 arena hadi Marekani na wamepiga kolabo kubwa na watu kama wakina ed sheeran na justine bieber madogo hao ni Joe Boy, Fire Boy na wapopo wengine wengine kibao wakina simi nani na nani?
ππππ looh hio top 3 nadhani ndo ile kitu wabongo wanasema "ametupiga na kitu kizito".
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Domokaya ana stress mno lol. Yaan kaishiwaa Kabisaaa.Kapanic Watanzania wameitia kwenye Dustbin EP yake[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaan Domokaya ana Kiba's Fever, kamtaja kwenye wimbo kaona haitoshi kamtaja kwenye Media, Msanii namba 3 Africa anaumizwa kichwa na Msanii ambaye hayupo hata top 100 [emoji119]
Who are the top 10 most famous African singers 2021?Tuseme basi Google ndiyo hawana akili. View attachment 2150840
Who are the top 10 most famous African singers 2021?Acha uchawi broView attachment 2150867