Diamond Platnumz ahoji kwanini Ali Kiba (mkongwe) hana media yake? Atoa onyo kushindanishwa na wasanii wa Tanzania 'ni wadogo sana kwake'

Diamond Platnumz ahoji kwanini Ali Kiba (mkongwe) hana media yake? Atoa onyo kushindanishwa na wasanii wa Tanzania 'ni wadogo sana kwake'

Namuunga mkono, kwa alipofika asishindane tena tz sababu watu wanatumia vibaya nafasi yake na effort aliyoweka ktk mziki wake wanataka shortcut kupanda kwa kumdhihaki na kujifananisha naye!

Kitu ambacho kinamshusha morali,wacha ashindane kwa watu wanapthamini mziki wake!
Hivi kuna mtu anaongoza kutaja taja majina kwenye nyimbo zake kama huyo Domo Chai jaba?

Sasa hivi chai jaba Yuko tayari kufanya chochote ilimradi apate pesa yaani Ni kama amelaaniwa.

Anataja taja majina ya watu tena sometime kwa kuwazalilisha ili atrend apate pesa.

Hii ni stage ya ajabu sana.
 
Hio namba tatu embu ngoja kwanza tui list tuone

1. Wizkid
2. Burna boy
3. Davido

Alaf tuwaache madogo ambao wamepiga shows o2 arena hadi Marekani na wamepiga kolabo kubwa na watu kama wakina ed sheeran na justine bieber madogo hao ni Joe Boy, Fire Boy na wapopo wengine wengine kibao wakina simi nani na nani?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] looh hio top 3 nadhani ndo ile kitu wabongo wanasema "ametupiga na kitu kizito".
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Hio namba tatu embu ngoja kwanza tui list tuone

1. Wizkid
2. Burna boy
3. Davido

Alaf tuwaache madogo ambao wamepiga shows o2 arena hadi Marekani na wamepiga kolabo kubwa na watu kama wakina ed sheeran na justine bieber madogo hao ni Joe Boy, Fire Boy na wapopo wengine wengine kibao wakina simi nani na nani?

😂😂😂😂 looh hio top 3 nadhani ndo ile kitu wabongo wanasema "ametupiga na kitu kizito".
Kwaio hata mimi msanii chipukizi nikitoa nyimbo na Rihanna leo ntakua juu ya Diamond kisa yy hajatoa nyimbo nae....acha ulimbukeni
 
Kapanic Watanzania wameitia kwenye Dustbin EP yake[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Yaan Domokaya ana Kiba's Fever, kamtaja kwenye wimbo kaona haitoshi kamtaja kwenye Media, Msanii namba 3 Africa anaumizwa kichwa na Msanii ambaye hayupo hata top 100 [emoji119]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Domokaya ana stress mno lol. Yaan kaishiwaa Kabisaaa.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Tuseme basi Google ndiyo hawana akili. View attachment 2150840
Who are the top 10 most famous African singers 2021?
Ten African music stars to look out for in 2021 1 Elaine (South Africa) 2 Fik Fameica (Uganda) 3 Gaz Mawete (Democratic Republic of Congo) 4 Kabza De Small (South Africa) 5 KiDi (Ghana) 6 Omah Lay (Nigeria) 7 Sha Sha (Zimbabwe) 8 Soraia Ramos (Cape Verde) 9 Tems (Nigeria) 10 Zuchu (Tanzania)
Ten African music stars to look out for in 2021 - BBC News
 
Kushindanishwa lazima

Ingekuwa hvyo kuwa ukishawazid wenzio mbali basi usishindanishwe nao,basi PSG fc ingehama france
 
Back
Top Bottom