Diamond Platnumz ahoji kwanini Ali Kiba (mkongwe) hana media yake? Atoa onyo kushindanishwa na wasanii wa Tanzania 'ni wadogo sana kwake'

Kwenye kuwazidi hadi dhambi nimemuelewa sana,Michael Jackson aliwahi kujitapa kuwa hakuna starehe hajawahi kufanya ikiwemo kuingiliwa nyuma.
 
Sijui kama yuko sahihi au la ila ninachojua hizo tuzo zimejaa umavimavi mwingi tu.
Kuzisusia ni namna ya kuziheshimu pia labda huko mbele watawekwa majaji wenye weredi na akili timamu!
 
Tafuta pesa K wewe mwenzako kishavuka level zakuwaza atakula nini....
 
Naona uneshajijibu hapo kwenye uwazidi wenzio mafanikio....
 

Huko BET, GRAMMY, VMA, AMA unakuta Beyonce, Rihanna au Lady gaga wanashindwa na Ella mai, SZA, Doja catt, belllie ellish, Dua lipa etc

Wasanii kama lil baby au taylor the creator wanawashinda watu kama drake au J cole

Bongo bado sana kujua ni nini maana ya tuzo maana watu tunaangalia jina badala ya performance..
 
Live your life - TI ft Rihanna, Yesterday - Tony Braxton ft Treyzong zina matusi gani?

Na kwanini usisikilize nyimbo nzuri za kidunia mbele ya wazazi na watoto wako huoni kama unajinyima uhuru?
 
Wala sio dhambi akikataa, yaan hyo ni sawa na kulazimisha Yanga icheze ligi daraja la tatu.. So Mr Domo namuona Yuko sahihi kama amekataa kushiriki hizo tuzo
Tuzo zinaangalia performance bro sio jina lako.. Kama tuzo ni za ndani tunaangalia performance yako ya ndani, wewe nyimbo kufanya vizuri huko nje sababu ushapata fan base ya huko haimaanishi wewe hustahili local competition

Kwanza Diamond mara ya mwisho lini kutoa national anthem kama Muziki ya darasa, Iokote ya Maua sama au Sukari ya msanii wake mwenyewe Zuchu

Hiyo ikuoneshe Tu kuwa soko limeamua kuwa nyimbo zake bado kuna watu wanazipita kwa kukubalika hivyo, zinastahili kukaa category moja na wasanii wenzake
 
Huyo Drake na The Weekend wamezigomea tuzo bora za music Grammy naona kwa wenzetu ni kawaida. Kama sikosei kuna wakati Nicki Minaj aliwatisha Hot 97 radio wasicheze nyimbo zake.

Kwa wenzetu ni kawaida kama hakiona hajalizika na michakato ya tuzo anaweza akawazuia wasimchague katika hizo tuzo.
 
Yy hatak kwasababu ya ukiritimba uliopo kwenye hizo tuzo, na si kwamba amedharau uwezo wa wasanii wengine. Hivyo kuzikataa sioni shida wale waliotayar washindane tu.
 
Live your life - TI ft Rihanna, Yesterday - Tony Braxton ft Treyzong zina matusi gani?

Na kwanini usisikilize nyimbo nzuri za kidunia mbele ya wazazi na watoto wako huoni kama unajinyima uhuru?
Tukileta nyimbo 100 za kizazi kipya cha Marekani sidhani kama utatoa hata nyimbo 10 za kusikiliza na wazazi, maneno kama https://jamii.app/JFUserGuide, pussy , Ass yakitafasiriwa kwa kiswahili hao wazazi watakushangaa, ni vile tu hamuelewi Kiingereza mnasikiliza beat na melody.

Kama wewe unataka ujumbe, nimekushauri vizuri usikilize sana KWAYA na QASIDA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…