Mkoko kisu
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 757
- 803
Sasa kwan kasema nn kibaya apo yuko sahihi 100% km utaki bas
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tafuta pesa K wewe mwenzako kishavuka level zakuwaza atakula nini....Hivi kuna mtu anaongoza kutaja taja majina kwenye nyimbo zake kama huyo Domo Chai jaba?
Sasa hivi chai jaba Yuko tayari kufanya chochote ilimradi apate pesa yaani Ni kama amelaaniwa.
Anataja taja majina ya watu tena sometime kwa kuwazalilisha ili atrend apate pesa.
Hii ni stage ya ajabu sana.
Na wewe na baba yako mmeshavuka level zipi?Tafuta pesa K wewe mwenzako kishavuka level zakuwaza atakula nini....
Naona uneshajijibu hapo kwenye uwazidi wenzio mafanikio....Leo hii nashangaa sana Diamond hataki tena kuwekwa kwenye tuzo za nchini kwao na amesahau kwamba tuzo hizo zilimtangaza kwa namna moja au nyingine.
Naona Domo amekuwa mshamba sana na amejisahau sana.
Kuwazidi wasanii wenzio mafanikio sio kwamba ndo umewazidi kuimba, hutaki kushindanishwa na wasanii wa ndani kwamba unawakandamiza, mbona wasanii wa Wanigeria, Marekani wanashiriki kwenye tuzo za nchi zao tena na wasanii wachanga waliowazidi kila kitu.
Domo acha maneno, wakina Wizkid, Burnaboy ni wakubwa lakini hawanaga ushamba kama huo.
Namuunga mkono, kwa alipofika asishindane tena tz sababu watu wanatumia vibaya nafasi yake na effort aliyoweka ktk mziki wake wanataka shortcut kupanda kwa kumdhihaki na kujifananisha naye!
Kitu ambacho kinamshusha morali,wacha ashindane kwa watu wanapthamini mziki wake!
Live your life - TI ft Rihanna, Yesterday - Tony Braxton ft Treyzong zina matusi gani?Kwanini usisikikize kwaya au Qasida? Unataka ukasikilize Bongoflava na wazazi wako ili iwe nini yani??
Watu mna hoja za kitoto sana, huo mziki wa marekani wenyewe unaweza kuusikiliza ma wazazi wako kwakua tu hamuelewi kinachoimbwa, ila ikitafasiriwa hapatakalika kabisa. Kuna mziki wenye ujumbe sikuizi??
Hii ni karne ya 21th acheni kulazimisha maisha ya zama za mawe?
Yeahh am the oneKwani kwa hapa bongo bado kuna msanii wa kulinganisha naye?
Kwani kwa hapa bongo bado kuna msanii wa kulinganisha naye?
Tuzo zinaangalia performance bro sio jina lako.. Kama tuzo ni za ndani tunaangalia performance yako ya ndani, wewe nyimbo kufanya vizuri huko nje sababu ushapata fan base ya huko haimaanishi wewe hustahili local competitionWala sio dhambi akikataa, yaan hyo ni sawa na kulazimisha Yanga icheze ligi daraja la tatu.. So Mr Domo namuona Yuko sahihi kama amekataa kushiriki hizo tuzo
Huyo Drake na The Weekend wamezigomea tuzo bora za music Grammy naona kwa wenzetu ni kawaida. Kama sikosei kuna wakati Nicki Minaj aliwatisha Hot 97 radio wasicheze nyimbo zake.Huko BET, GRAMMY, VMA, AMA unakuta Beyonce, Rihanna au Lady gaga wanashindwa na Ella mai, SZA, Doja catt, belllie ellish, Dua lipa etc
Wasanii kama lil baby au taylor the creator wanawashinda watu kama drake au J cole
Bongo bado sana kujua ni nini maana ya tuzo maana watu tunaangalia jina badala ya performance..
Yy hatak kwasababu ya ukiritimba uliopo kwenye hizo tuzo, na si kwamba amedharau uwezo wa wasanii wengine. Hivyo kuzikataa sioni shida wale waliotayar washindane tu.Tuzo zinaangalia performance bro sio jina lako.. Kama tuzo ni za ndani tunaangalia performance yako ya ndani, wewe nyimbo kufanya vizuri huko nje sababu ushapata fan base ya huko haimaanishi wewe hustahili local competition
Kwanza Diamond mara ya mwisho lini kutoa national anthem kama Muziki ya darasa, Iokote ya Maua sama au Sukari ya msanii wake mwenyewe Zuchu
Hiyo ikuoneshe Tu kuwa soko limeamua kuwa nyimbo zake bado kuna watu wanazipita kwa kukubalika hivyo, zinastahili kukaa category moja na wasanii wenzake
Sio tuzo ni tunzo.Sio Tunzo ni Tuzo
Ulikuwa sahihi, tunzo inatokana na neno tunza.Nimerekebisha
Sio tuzo ni tunzo.
Tukileta nyimbo 100 za kizazi kipya cha Marekani sidhani kama utatoa hata nyimbo 10 za kusikiliza na wazazi, maneno kama https://jamii.app/JFUserGuide, pussy , Ass yakitafasiriwa kwa kiswahili hao wazazi watakushangaa, ni vile tu hamuelewi Kiingereza mnasikiliza beat na melody.Live your life - TI ft Rihanna, Yesterday - Tony Braxton ft Treyzong zina matusi gani?
Na kwanini usisikilize nyimbo nzuri za kidunia mbele ya wazazi na watoto wako huoni kama unajinyima uhuru?