Franco Zetta
JF-Expert Member
- Nov 3, 2014
- 1,661
- 843
Makontena yalipo toroshwa wewe ulikuwa wapi? Acha sudi.Kulipa kodi ni kijiba cha roho....? insanity insanity insanity
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makontena yalipo toroshwa wewe ulikuwa wapi? Acha sudi.Kulipa kodi ni kijiba cha roho....? insanity insanity insanity
Iwapo Diamond atakubali kubanana naye tu. Ujue akinamama ni wazuri ila wakijua unadumbukiza dushe kwa mwingine ni wabaya zaidi ya simba. Anaweza kumreduce to nothing. Ni bora Diamond akatulia ili apate hela zaidiPesa pesa pesa mpaka anuke pesa....
Zari atadumu sana na Diamond
Mi sio Afisa TRA, Ila kama mzalendo kwa nchi ni wajibu wa kila mtu kulipa kodi iwe PAYE, INCOME tax or whatever... Acha uzuzu dogoMakontena yalipo toroshwa wewe ulikuwa wapi? Acha sudi.
Yy mwnyw ni ccmCCM tu ndo watamuharibia.
Laiti ninge jaliwa kukutana nawe ndio ungejua mimi dogo sehemu gani? Haya furahisha nafsi yako.Mi sio Afisa TRA, Ila kama mzalendo kwa nchi ni wajibu wa kila mtu kulipa kodi iwe PAYE, INCOME tax or whatever... Acha uzuzu dogo
FAFANUA KIDOGO MADAM= wanasubiri
saananampenda anabidii huyu kijana MUNGU ambariki
saananampenda anabidii huyu kijana MUNGU ambariki
Hapo ndio utajua tofauti ya DIAMOND na hao wengine,usimchukulie poa anajua thamani yake.Mwenyewe hajataja kiasi gani, wala vodacom hawajasema ni kiasi gani....
Bilioni waijua au waisikia?
Mwenyewe hajataja kiasi gani, wala vodacom hawajasema ni kiasi gani....
Bilioni waijua au waisikia?
Kalipe wewe kwendraaaa wivu Tu, loohMi sio Afisa TRA, Ila kama mzalendo kwa nchi ni wajibu wa kila mtu kulipa kodi iwe PAYE, INCOME tax or whatever... Acha uzuzu dogo