Je vodacom haitawagharimu kupunguza wateja wao,Kwa kumuweka Dai.Platnamz kuwa Balozi Wa vodacom na kuusiana na upande Wa 2(haters).
Coz vodacom mmewaharibia program yao Lupela inatoka na Diamond kuwa Balozi Wa Vodacom.Mnapaonaje hapo?
Kwani hao wapuuzi wapo wangapi? wachache sana, afu ni fans in denial... Wangekuwa wengi huyo wema sepetu au king wao ndio angekuwa anapewa deals lakini kaishia ubalozi wa tembo wa kujitolea bila kulipwa. Yani wao ni matusi kutwa nzima, kutukana watu hovyohovyo, unafikiri kuna kampuni itategemea wapuuzi wa namna hiyo kufanikiwa? BIG NO..!!!!!!