Diamond Platnumz aingia mkataba mnono na vodacom

Diamond Platnumz aingia mkataba mnono na vodacom

Je vodacom haitawagharimu kupunguza wateja wao,Kwa kumuweka Dai.Platnamz kuwa Balozi Wa vodacom na kuusiana na upande Wa 2(haters).
Coz vodacom mmewaharibia program yao Lupela inatoka na Diamond kuwa Balozi Wa Vodacom.Mnapaonaje hapo?

Kwani hao wapuuzi wapo wangapi? wachache sana, afu ni fans in denial... Wangekuwa wengi huyo wema sepetu au king wao ndio angekuwa anapewa deals lakini kaishia ubalozi wa tembo wa kujitolea bila kulipwa. Yani wao ni matusi kutwa nzima, kutukana watu hovyohovyo, unafikiri kuna kampuni itategemea wapuuzi wa namna hiyo kufanikiwa? BIG NO..!!!!!!
 
Hizo habari za withholding tax kwani mondi anamaintain books of accounts?

Usipende kuonesha mapungufu yako! Fungua tovuti ya TRA, soma Kipengere cha 'Withholding Tax' ambamo "Service Fee" anayolipwa local Resident imefafanuliwa. Ukishasoma ndo utajua kama ulichoandika kina mantik ama la!
 
Usipende kuonesha mapungufu yako! Fungua tovuti ya TRA, soma Kipengere cha 'Withholding Tax' ambamo "Service Fee" anayolipwa local Resident imefafanuliwa. Ukishasoma ndo utajua kama ulichoandika kina mantik ama la!
Sawa assistant CAG, huko ulikonituma kusoma siendi
 
Zari mtamu
dogo anafaidi
Gademu kudadadadeeeki!

Mbona chuchu za Zari zilikuwa zimesimama hivyo? Nadhani itakuwa kiubaridi cha viyoyozi hicho.

Ila tuacheni maskhara...dogo anafaidi bana!

Hivi nani katika akili yake kweli anaweza kusema Zari ni mbaya? Kwamba hana mvuto?

Hahahaa....they can't be serious. Na huyo ni mama aliyetotoa watoto wanne?

I'll take her every day of the week and twice on Sunday over so many others who have never even come close to being pregnant let alone bear any children.

Halafu, huyo mwenye kigauni cha kijani ni nani?

The Boss come this way please....who is she?



zari mtamu dogo anafaidi
huyo wa kijani yuko vodacom...
 
Kamsanii ketu siku hizi hakipandi jukwaani bila ya wema na jojo.
 
Kumfananisha kiba na mond ni kumkosea adabu kiba huo ndo ukweli.... Mond saiz yake belle tu kwa kuanzia kiba mbali sana aysee #samahani lakini
Hivi upo serious kweli?!afu mbna kama unaongea viceversa?!#ukweli mchungu
 
Duuuuuh, kijana katisha... Nasema huyu zali huyu ni zali kweli kwa diamond, that's is a fu*kin big stake man... Big up...
 
This is @Mr.Master Chibu chibudee.
Vodacom's Ambassador.
Ongea Deilee na Dangote lisaa limoja bure.
Nami ni miongoni Wa Wakala wa vodacom.
Njoo kwenye vodashop tukusajirie laini yako ya vodacom matokeo utayapata na naamini #Utanipenda!!!!
 
Zari + tiffah wamefanya nyota ya diamond izidi kung'aa
 
Alikiba ni wine nzuri tena sanaaaah..Diamond ni maji.Kila mtu anatumia maji wachache wanakunywa maji.#BigUp Diamond jeshi la mtu mmoja.
 
HUYO DOMO Leo Baba Yake Alikuwa Anahojiwa Clouds TV. Mshua Wake Kafulia Mbaya Yaani Hajaonana Na Mwanae Mwaka wa 3 Sasa
 
Sio wa tatu tu, kamkimbia tokea utotoni iweje ni miaka mitatu..? Ni zaidi ya 20...!!
duh,nimependa ulivomjibu kiufundi,hii inaitwa "technical answer"...hahahahaaa,mleta hoja lazima ajifikirie mara tatu tatu kuja kukujibu tn
 
diamond is smart n zari is making him even smarter n richer
 
Back
Top Bottom