George Betram
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 4,672
- 6,272
hapana mkuu...Je vodacom haitawagharimu kupunguza wateja wao,Kwa kumuweka Dai.Platnamz kuwa Balozi Wa vodacom na kuusiana na upande Wa 2(haters).
Coz vodacom mmewaharibia program yao Lupela inatoka na Diamond kuwa Balozi Wa Vodacom.Mnapaonaje hapo?
hili swala haliwez kuathiri soko la vodacom hata kidogo...
isipokuwa me naona kufanya kaz na diamond kutawanufaisha sana vodacom...