Diamond Platnumz aingia mkataba mnono na vodacom

Diamond Platnumz aingia mkataba mnono na vodacom

chibu ndio real king wa bongo fleva kipaji anacho plus utunzi.....kibakuli yeye kabaki kulelewa 2 yani hana tofauti ni lembebezz sifa kibao hata kibanda cha rum moja hana
 
Hata hisha kwenye midomo ya watu na pia sio Wa kukwama kwama unamjua au unamsikia
 
933632a763604c211350bfa50d6c5e17.jpg

tembo baada ya kusikia lupela
 
NAULIZA JAMANI. KODI WANALIPIA HAWA WASANII? SIO TUNABANWA SIE NA PAYE TU...
 
"Nampigia mwanangu, Laty lalaaa"

hahaha huyu MTU mbaaaya sana, hill tangazo tu ila ni tatizo likija lile dude alilovaa kininja? au aliloshika mtutu? alilomshirikisha psquare au neyo? hahahaha kama ninamuona hivii miaka mingi sana ya utawala wake..
 
Wanatumia pesa nyingi ili Ali Kiba asiwini life. Lakini King yeye anasoma dua tu.
Mweeeeee.!! Tatizo ujinfa wenu ndo huo, nyie daily mnawaza kuhujumiwa tu.. Mshauri kiba apige kazi na juhudi sio kulalama tuuuuuu tumemchoka bhana na ulalamishi wake!! Fanya kazi
 
Kideo cha Leo Vodacom

Gademu kudadadadeeeki!

Mbona chuchu za Zari zilikuwa zimesimama hivyo? Nadhani itakuwa kiubaridi cha viyoyozi hicho.

Ila tuacheni maskhara...dogo anafaidi bana!

Hivi nani katika akili yake kweli anaweza kusema Zari ni mbaya? Kwamba hana mvuto?

Hahahaa....they can't be serious. Na huyo ni mama aliyetotoa watoto wanne?

I'll take her every day of the week and twice on Sunday over so many others who have never even come close to being pregnant let alone bear any children.

Halafu, huyo mwenye kigauni cha kijani ni nani?

The Boss come this way please....who is she?
 
Haaa yaani acha tu

Wivu ukiwajaa ndio tabu, badala ya kufatilia wanafanyajw nao wapae, wanatukana na kutafuta maneno machafu.

Wajipigie makofi maana wamechangia katika kufanya wazidi kukaa juu na kupanda hadi wanavuta pesa zaidi na zaidi.

Ila mtoto wa Kiganda kwa kweli usiende kupanda ndege ukamvizia kumuiba, kaja na maendeleo makubwa kwa D, hadi raha kwa mtoto wa Tandale.

Huyo dada jina litakuja soon, mida hii kuuliza wengi wamelala ngoja na mie nijaribu kulala joto hatari, kibalazani upepo ka vile nawanga.
 
Hio voda deilee mi ndo nimeona muda si mrefu kwenye tangazo la voda.....that means promo yake mnaijua na kuikuza nyie wa mitandao tu wala haina issue!
Lupela ni Lupela na voda ni voda labda kama mmeamua kuipromote pia kupitia nyuzi!
 
Back
Top Bottom