Diamond Platnumz aingia mkataba mnono na vodacom

Pesa pesa pesa mpaka anuke pesa....
Zari atadumu sana na Diamond
Iwapo Diamond atakubali kubanana naye tu. Ujue akinamama ni wazuri ila wakijua unadumbukiza dushe kwa mwingine ni wabaya zaidi ya simba. Anaweza kumreduce to nothing. Ni bora Diamond akatulia ili apate hela zaidi
 
Mi sio Afisa TRA, Ila kama mzalendo kwa nchi ni wajibu wa kila mtu kulipa kodi iwe PAYE, INCOME tax or whatever... Acha uzuzu dogo
Laiti ninge jaliwa kukutana nawe ndio ungejua mimi dogo sehemu gani? Haya furahisha nafsi yako.
 
Vodacom hawamjaediti zari nyonyo zimekaa pande za mtoto bichiii
 
Wenye roho za vijiba wanavyofikiri kichwani mwao sasahivi "Diamond kanunua kuwa balozi" hahahaha kuna watu chenga sana, Super Gademu Mbulurazz in Le King's voice...
 
Mi sio Afisa TRA, Ila kama mzalendo kwa nchi ni wajibu wa kila mtu kulipa kodi iwe PAYE, INCOME tax or whatever... Acha uzuzu dogo
Kalipe wewe kwendraaaa wivu Tu, looh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…