George Betram
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 4,672
- 6,272
hapana mkuu...Je vodacom haitawagharimu kupunguza wateja wao,Kwa kumuweka Dai.Platnamz kuwa Balozi Wa vodacom na kuusiana na upande Wa 2(haters).
Coz vodacom mmewaharibia program yao Lupela inatoka na Diamond kuwa Balozi Wa Vodacom.Mnapaonaje hapo?
Umeona enh?! Na hiyo ndiyo sababu ya matangazo makubwa kupewa celebrities wakubwa-- au ulikuwa hujafahamu bado? Ukimpa tangazo mtu kama Diamond lazima lita-trend tu!Hio voda deilee mi ndo nimeona muda si mrefu kwenye tangazo la voda.....that means promo yake mnaijua na kuikuza nyie wa mitandao tu wala haina issue!
Lupela ni Lupela na voda ni voda labda kama mmeamua kuipromote pia kupitia nyuzi!
Mbona Diamond kitambo sana anafanya kazi na Vodacom!!Je vodacom haitawagharimu kupunguza wateja wao,Kwa kumuweka Dai.Platnamz kuwa Balozi Wa vodacom na kuusiana na upande Wa 2(haters).
Coz vodacom mmewaharibia program yao Lupela inatoka na Diamond kuwa Balozi Wa Vodacom.Mnapaonaje hapo?
Teh teh teh Ijumaa kareemNalipa millioni kadhaa.......na hapo ninakuwa nimekwapa kodi za kutosha sheikh...
waliomlipa ndio wana jukumu la kukata withholding tax....kwa uelewa wangu mdogo wa suala la kodi...Ila serekali ikumbuke kodi kwa haya majamaa
Kumfananisha kiba na mond ni kumkosea adabu kiba huo ndo ukweli.... Mond saiz yake belle tu kwa kuanzia kiba mbali sana aysee #samahani lakinimashabiki wa aina yenu ndo wanaomponza Ali Kiba...
amini usiamini hii nyimbo ya LUPELA kama diamond ataamua kuizima wala haitachukua hata wiki mbili...
ila sio jambo la ajabu sana kwa sababu hata mashabiki wa ommy dimpoz wanaamini ommy dimpoz ni mkali kushinda diamond...
hiyo ndo maana ya USHABIKI..!
Unadhani hapendi kuizima?....mwambie ajaribu tuone hahahaaaKumfananisha kiba na mond ni kumkosea adabu kiba huo ndo ukweli.... Mond saiz yake belle tu kwa kuanzia kiba mbali sana aysee #samahani lakini
Wacha weee hahahahaaa nuhu mwenyewe akiskia anakukana nyauKiba size yake Nuhu mziwanda
Kiba anashindana na nani kwani ?...#samahan lakin miaka zaid ya kumi kwenye game unasema hajui hahahahaaaaaGrow up nyie ndiye mnaofanya huyu kiba hasiendelee, mwambie kiba akaze buti na astop mashindano Ya kijinga.
Mtu wa hovyo definition yake ni ipi?...mumshukuru Wema bas alimpa japo ABC chokoraa wenu wa tandale eenh ?..then idriss kazidiwa na diamond pesa tu apart from that jamaa ni bora kila kituMambo haya ndio yamemfanya wema apatate kuchanganyikiwa hadi kubeba mimba na mtu wa hovyo kabisa
Ubaloz kiba mwenyewe baloz hujui ?...tena kabinet yao ipo na watu gani hujui pia?...hahahahaaaaa hakuna kilichoharibika King still there and no one to disturbJe vodacom haitawagharimu kupunguza wateja wao,Kwa kumuweka Dai.Platnamz kuwa Balozi Wa vodacom na kuusiana na upande Wa 2(haters).
Coz vodacom mmewaharibia program yao Lupela inatoka na Diamond kuwa Balozi Wa Vodacom.Mnapaonaje hapo?
kiba kamuacha diamond mbali..!!!?Kumfananisha kiba na mond ni kumkosea adabu kiba huo ndo ukweli.... Mond saiz yake belle tu kwa kuanzia kiba mbali sana aysee #samahani lakini
Waungwana si muwaachie wenye kazi zao TRA kwani ulikuwa mkataba wa siri kwamba nyie ndio mmeugundua? mbona vyombo vya habari viliitwa na yote yame anikwa nini tatizo lenu? mna fikia hadi kutoa maelekezo ya mgawanyiko wa makato dah!!.
Wanatumia pesa nyingi ili Ali Kiba asiwini life. Lakini King yeye anasoma dua tu.
Nimecheka sana leo instagram eti diamond enzi hizo za mwafulani hakupewa hata tangazo la azam chapati zari ana nyota ha ha ha watu banaVodacom hawamjaediti zari nyonyo zimekaa pande za mtoto bichiii
Hizo habari za withholding tax kwani mondi anamaintain books of accounts?Tusichanganye mambo! Wa makontena watajibu kivyao, na huyu endapo hao Voda hawatamkata withholding tax, basi wao (voda) ndo watailipa.