Je vodacom haitawagharimu kupunguza wateja wao,Kwa kumuweka Dai.Platnamz kuwa Balozi Wa vodacom na kuusiana na upande Wa 2(haters).
Coz vodacom mmewaharibia program yao Lupela inatoka na Diamond kuwa Balozi Wa Vodacom.Mnapaonaje hapo?
Hizo habari za withholding tax kwani mondi anamaintain books of accounts?
Sawa assistant CAG, huko ulikonituma kusoma siendiUsipende kuonesha mapungufu yako! Fungua tovuti ya TRA, soma Kipengere cha 'Withholding Tax' ambamo "Service Fee" anayolipwa local Resident imefafanuliwa. Ukishasoma ndo utajua kama ulichoandika kina mantik ama la!
Gademu kudadadadeeeki!
Mbona chuchu za Zari zilikuwa zimesimama hivyo? Nadhani itakuwa kiubaridi cha viyoyozi hicho.
Ila tuacheni maskhara...dogo anafaidi bana!
Hivi nani katika akili yake kweli anaweza kusema Zari ni mbaya? Kwamba hana mvuto?
Hahahaa....they can't be serious. Na huyo ni mama aliyetotoa watoto wanne?
I'll take her every day of the week and twice on Sunday over so many others who have never even come close to being pregnant let alone bear any children.
Halafu, huyo mwenye kigauni cha kijani ni nani?
The Boss come this way please....who is she?
Hivi upo serious kweli?!afu mbna kama unaongea viceversa?!#ukweli mchunguKumfananisha kiba na mond ni kumkosea adabu kiba huo ndo ukweli.... Mond saiz yake belle tu kwa kuanzia kiba mbali sana aysee #samahani lakini
HUYO DOMO Leo Baba Yake Alikuwa Anahojiwa Clouds TV. Mshua Wake Kafulia Mbaya Yaani Hajaonana Na Mwanae Mwaka wa 3 Sasa
duh,nimependa ulivomjibu kiufundi,hii inaitwa "technical answer"...hahahahaaa,mleta hoja lazima ajifikirie mara tatu tatu kuja kukujibu tnSio wa tatu tu, kamkimbia tokea utotoni iweje ni miaka mitatu..? Ni zaidi ya 20...!!