Diamond Platnumz ajaza uwanja unaoingiza watu 70,000 Sierra Leone

Kwani hizo video zimekuwa posted na nani kama si Diamond mwenyewe kutuonesha anakubalika huko?
Sasa kwani hakubaliki?! Nyie watu mbona huwa mnahoji vitu irrelevant?! Hivi unaweza kuniambia swali lako hili linahusiana vipi na nilichoandika?! Unadhani bila kukubalika angekuwa ndie headline act?
 
Mkuu usitufanye wabongo wote ma mbwiga wadanganye watu wa buza huko
 
Jamani mbona show hii wamealikwa wasanii mbali mbali toka nchi nyingi za afrika akiwemo Diamond. Hii siyo show yake ndugu zangu bali ni mualikwa kama walivyoalikwa wengine. Wacheni opotoshaji usio na tija.
Mambo mengine hayahitaji nguvu kubwa kuyajua. Wewe pitia clip za mapokezi ya Diamond na shoo yake utaona jinsi watu walivyokuwa na hamu nae na walivyoimba nyimbo zake, utabaini Diamond ndo alisabisha uwanja kujaa vile na ndo maana akawa Main Act.
 
Hivi kuna haja gani ya kutumia ulaghai na sifa za kijinga. Hapo kunaleta kutokujiamini,
By the way kama unajua unajua tu haina haja ya kutumia nguvu kuuuubwa ili watu wakuamini. Pambaneni mziki ukue na uendelee kuwa biashara nzuri lakini hz kiki za kijinga sidhani kama zitamuweka mtu kileleni kwa muda mrefu.
Be natural, be realistic I swear utaenda mbali lakn na utadumu muda mrefu.
 
Kuna sehemu Mond kasema alikuwa pekee? au ndio chuki zinakufanya uweuke mkuu
 
Kwa hiyo show ilikuwa ya diamond afu kawaalika akina patoranking wamsaidie au vp? Punguza mahaba nyau we
Akil yako bado sana mkuu,soma tena nlichoandika uelewe acha kukurupuka,watakucheka watu.
 
Uko correct kama yeye ndiye aliyekuwa main actor wa festival hiyo; lakini tangazo hilo hapo chini halionyeshi nani main actor wa festival hiyo ndiyo maana nikaweka comment hiyo uliyokwoti.

View attachment 1280033
Nenda YouTube kaangalie video za mapokezi ya Mond na hao wasanii wengine uone nani alipewa attention kubwa ndo utaelewa,usipoelewa kaendelee kubishana na YouTube mkuu Mimi siwawezi maana unataka hadi maswali madogo ya kwann kwenye matangazo haikuonesha yeye ni main act,hv ungekuwa ww ni msanii nchini kwako unaheshimiwa na umealikwa kwenye tamasha na promo za hilo tamasha zinaonesha kipaombele kwa msanii waziwazi kama main,would you perform comfortably and enjoy the show? Hapana kwasababu ungeona wameku underrate,ndio international concerts huwa hawaoneshi wazi kuwa Fulani ndio main act ila kwenye ratiba utaona utofauti wa ratiba yake na wasanii wengine ma underdogs mf tamala la Malawi mwaka juzi kama sijakosea main act though walikwepo wasanii wengine sababu ndie aliyefanya show muda mwingi majogoo show inamalizikia mikononi mwake ika ktk promo hawakuonesha kuwa alikuwa main hii ni kuepuka kuondoa moods za wasanii pale watapojihisi kushushwa viwango kwa kuonekana wasindikizaji,na ukumbuke This is business so mapromota wanaitaji ela irudi mfukoni hivyo ni lazima kuonesha uthamani wa kila msanii ili wasanii wakinukishe ile mbaya for sake of future concerts
 
Kweli kuwa hater kipaji,kuna MTU kakujibu si chini ya mara moja kuwa hakuna show ya MTU mmoja bado huelewi yaani ukianda show ya msanii Fulani lazima wawepo wasindikizaji huwa wanatangulia kabla ya Main Act
 
Sasa kama upo Dar bakia na ya Dar acha kihelehele cha yaliyotokea Sierra Leone maana hujui sababu upo Dar
 
Nna mashaka na ufuatiliaji wako wa burudani za Afrika mashariki,unaendeshwa na chuki mkuu narudia Tena Chuki ni adui wa Haki,Hakuna mpigaji matasha bora kama Diamond hapa Bongo video zake zipo YouTube zimegaa kajionee mwenyewe halafu urudi na kauli za Diamond hata bure hajazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…