Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani mbona show hii wamealikwa wasanii mbali mbali toka nchi nyingi za afrika akiwemo Diamond. Hii siyo show yake ndugu zangu bali ni mualikwa kama walivyoalikwa wengine. Wacheni opotoshaji usio na tija.Diamond usiku wa kuamkia leo kwa masaa ya huko Siera Leone alikuwa na Show kubwa ambayo ticket zote ziliisha na watu 70,000 walijaza uwanja.
Sasa kwani hakubaliki?! Nyie watu mbona huwa mnahoji vitu irrelevant?! Hivi unaweza kuniambia swali lako hili linahusiana vipi na nilichoandika?! Unadhani bila kukubalika angekuwa ndie headline act?Kwani hizo video zimekuwa posted na nani kama si Diamond mwenyewe kutuonesha anakubalika huko?
Mkuu usitufanye wabongo wote ma mbwiga wadanganye watu wa buza hukoHakuna cha misinformation hapo! Kilichopo ni kwamba, wakati wengine ni HATERS, wengine wanaonesha wazi hawana uelewa na masuala ya matamasha! Mara nyingi kama sio zote, tamasha lolote kubwa linalokutanisha wasanii wengi LAZIMA liwe na Headline Act!! Headline/Lead Act wa Ecofest 2019 ni Diamond Platnumz! Do your own research hata hapa JF watu wakuelekeze ufahamu wao kuhusu hao wasanii wengine walioshiriki ukimuondoa Chameleon kama wanawafahamu! Tay Grin, ni wa Malawi tu hapo, nchi jirani! Ni watu wangapi wanamfahamu Tay Grin ambae hata Instagram Following yake hajafikisha hata 100K Followers. Na ukimtoa Diamond, sidhani kama msanii yeyote miongoni mwao aliye na following ya kufikisha hata 2M. Na kwenye habai uliyoiweka hapa, imemtaja Abu Bakarr Turay wa KME anayeandaa hilo tamasha! Ingia kwenye personal Instagram Page na jiulize kwanini ka-post Interview ya Diamond na si ya mwingine yeyote?! Kwenye hiyo Interview Diamond yupo na Rozzy Sokota ambae ni local artist, na sijui wangapi wanamfahamu manake hata followingi yake Instagram haijafika hata 20K!!!
So, ni kweli tamasha limeshirikisha wasanii wengi lakini Diamond ndie Headline Act na ndio maana kapewa attention kubwa tangia siku anaingia! Concerts ni kama pambano la ndondi ambako na kwenyewe kunakuwa na Supporting/Opening Acts/Boxers) wanaofungua show na show husika kumaliziwa na Headline Acts/Boxers!!
HahaaaUzuri Wa Uzi kama hizi HATERS huleta taarifa sahihi... Huko wanachimbua google...
Nikae hapa..
Kwamba umechukia sana Diamond kuwa Main Act.Mkuu usitufanye wabongo wote ma mbwiga wadanganye watu wa buza huko
UmenenaHizo spectacular show zilifanywa na kanda bongo man pekee kwa Africa na hazitakuja jirudia tena
Mambo mengine hayahitaji nguvu kubwa kuyajua. Wewe pitia clip za mapokezi ya Diamond na shoo yake utaona jinsi watu walivyokuwa na hamu nae na walivyoimba nyimbo zake, utabaini Diamond ndo alisabisha uwanja kujaa vile na ndo maana akawa Main Act.Jamani mbona show hii wamealikwa wasanii mbali mbali toka nchi nyingi za afrika akiwemo Diamond. Hii siyo show yake ndugu zangu bali ni mualikwa kama walivyoalikwa wengine. Wacheni opotoshaji usio na tija.
Huyo ni chairlady wa hatersHao... Hhahaa..
liswalileUnadhani ni kwa nini Promoter wa hiyo festival alikuwa na majibizano haya na meneja wa mondi?
alikuView attachment 1280067View attachment 1280068
Wakijibu nitagHivi wasafi festival msanii gani alikuwa main artist
Kuna sehemu Mond kasema alikuwa pekee? au ndio chuki zinakufanya uweuke mkuuMisinfomation ni jambo baya sana kwa jamii kwani hudumaza jamii husika. Nimesoma hiyo liki uliyoweka, nikaona kweli kuna misinformation kubwa sana kwenye tukio hili kwa upande wa Tanzania kwani hiyo haikuwa show ya mtu mmoja kama nilivyokuwa hata mimi naamini bali ililkuwa ni tamasha lililohusisha wasanii wengi wa kutoka mataifa kumi ya Afrika. Tunataka Tanzania ing'ae lakini tusiwe tunaeneza habari zisizokuwa za kweli ili kuisifia Tanzania na watu wake.
ECOFEST SIERRA LEONE 2019...Using Entertainment sell Sierra Leone to the world and to enhance African Unity.
06,Sep 2019
Written by Admini
Read 9051 times
What clearly was a major break in Sierra Leone and West African Entertainment commenced just over a year ago. The greatest entertainment platform ever created in Sierra Leone started at last year’s ECOFEST hosting seven West African Nations. Superstars like Patoranking from Nigerian, Kuami Eugene from Ghana, Takana Zion from Guinea and CIC from Liberia to name but a few, were part of a star studded line up for what was a massive event and an almost perfect showdown. This year has promised even bigger and greater things and by all standards it has a momentum that’s bound to attract the whole of the African continents attention. Issues like sound system that were a national have now been fully sorted by KME’s ECOFEST SIERRA LEONE 2019 partners, CRIBS INTERNATIONAL.
ECOFEST SIERRA LEONE 2019 will be having Ten (10) Nations represented at one arena in Freetown. They include, Nigeria, Ghana, Guinea, Senegal, Gambia, Liberia, The Host Nation Sierra Leone (from the West African front), Tanzania, Uganda (From East Africa) and (Malawi) from Southern African front. What better way to unify Africa at a time when everyone is talking about the xenophobic attacks meted out by South Africans to other African nationalities? Sierra Leone takes a bolder step in welcoming our African brothers and sisters to a platform that will soon be not only a international phenomenon, but an African legacy.
Multiple award winning Record Label and hitmakers, Kabaka Multimedia and Entertainment (KME) who are lead organizers have informed this media that this will be an unforgettable night of entertainment come November 30th at the National Stadium. The CEO of KME, Lawyer Abu Bakarr Turay, popularly known as The Kabaka has intimated us that the initiative was to shed light on our stars back home. To have a platform that will be enviable to other African nations and that will welcome both acts that have “arrived” in their career as we have in Diamond Platnumz, Basket Mouth, Jose Chameleone etc..and those who are “on their way” like the many powerful Sierra Leonean musicians, comedians and other entertainment acts. “If they cannot invite us to the big stages that we have envied for decades, we have created one that is attractable enough to have them come here and see what we are also made of and then they will be emissaries for us, to take the good news back to the rest of Africa and beyond..”, CEO KABAKA stated.
On those who stand to benefit back home locally, Kabaka wasted no time in explaining that apart from the fact that his Record Label grooms 100% Sierra Leonean talents and currently have about 8 musicians, and four dancers, there will be six of the nation’s best comedians in this year’s ECOFEST, namely Kindo Armani, Faculty, Richie Obama, Oga Worwor, Yemata and legendary Desmond Benya. There will also be ten Sierra Leonean musicians on stage as main acts such as, Innocent, Morris, Star Zee, Arkman, Camouflage and King Boss LA to name a few (these don’t include the 8 KME artistes). There will be atleast ten local “guest acts” on the night. Also we will have Sierra Leonean DJs who will give us a “party time” hour. From the number of acts, it is clear that 70% of acts who will grace the stage on that night will be Sierra Leoneans, but the African continent will be well represented and they will enjoy Sierra Leonean hospitality as never before. The whole of Africa knows our hospitality is second to none.
On time management, there will be Basket Mouth as main host for the show who will be assisted by two co-hosts. Last year there were eight MCs. Drastically reducing that number and bringing someone who wouldn’t yield to pressure from some artistes to over stay their time on stage is key. Also starting as early as 6PM means we will have six hours of a great show even before midnight. In total we are hoping to give our fans 9-10 hours of nonstop and breathtaking entertainment, The Kabaka furthered.
This year’s ECOFEST is organized by KME in collaboration with EMPIRE ENTERTAINMENT GHANA and CRIBS INTERNATIONAL. Supported by Africell, AfriRadio, AYV, 98.1FM, NEWSWATCH MAGAZINE AND NEWSPAPER and many more. It will be a night of music, comedy, dance and cultural entertainment. Be there on Saturday 30TH NOVEMBER at the National Stadium.
Akil yako bado sana mkuu,soma tena nlichoandika uelewe acha kukurupuka,watakucheka watu.Kwa hiyo show ilikuwa ya diamond afu kawaalika akina patoranking wamsaidie au vp? Punguza mahaba nyau we
Nenda YouTube kaangalie video za mapokezi ya Mond na hao wasanii wengine uone nani alipewa attention kubwa ndo utaelewa,usipoelewa kaendelee kubishana na YouTube mkuu Mimi siwawezi maana unataka hadi maswali madogo ya kwann kwenye matangazo haikuonesha yeye ni main act,hv ungekuwa ww ni msanii nchini kwako unaheshimiwa na umealikwa kwenye tamasha na promo za hilo tamasha zinaonesha kipaombele kwa msanii waziwazi kama main,would you perform comfortably and enjoy the show? Hapana kwasababu ungeona wameku underrate,ndio international concerts huwa hawaoneshi wazi kuwa Fulani ndio main act ila kwenye ratiba utaona utofauti wa ratiba yake na wasanii wengine ma underdogs mf tamala la Malawi mwaka juzi kama sijakosea main act though walikwepo wasanii wengine sababu ndie aliyefanya show muda mwingi majogoo show inamalizikia mikononi mwake ika ktk promo hawakuonesha kuwa alikuwa main hii ni kuepuka kuondoa moods za wasanii pale watapojihisi kushushwa viwango kwa kuonekana wasindikizaji,na ukumbuke This is business so mapromota wanaitaji ela irudi mfukoni hivyo ni lazima kuonesha uthamani wa kila msanii ili wasanii wakinukishe ile mbaya for sake of future concertsUko correct kama yeye ndiye aliyekuwa main actor wa festival hiyo; lakini tangazo hilo hapo chini halionyeshi nani main actor wa festival hiyo ndiyo maana nikaweka comment hiyo uliyokwoti.
View attachment 1280033
Kweli kuwa hater kipaji,kuna MTU kakujibu si chini ya mara moja kuwa hakuna show ya MTU mmoja bado huelewi yaani ukianda show ya msanii Fulani lazima wawepo wasindikizaji huwa wanatangulia kabla ya Main ActMnaamini sana kwenye instagram hiyo siyo source ya kutufanya tuamini au tukubali unachotaka tukubali RONALDO ANA FOLLOWERS WENGI INSTA BT BALLON D OR JANA KACHUKUA MESSI apart from that nambie Mzee wa bwax ana followers wangap insta au Juma nature je output yake akiwa jukwaan ipoje? Huyo local artist sisi hatuna haja ya kumjua walomuita ndo wanajua ana nguvu gani kweny muziki wao kwani hadi sisi tumjue ndo awe mkali? Acheni porojo Kubalini show haikuwa ya DIAMOND PEKEYAKE kama ambavyo mlitaka tuamini na yy kuwa main act siyo kwamba ndo kafanyawatu 70k waingie kila mtu ana favourite wake alomfanya afike uwanjani km hivyo wangemuita diamond pekeyake basi ili ajaze 70k hahahahaaaaa.. He is giant in african music bt not to that extent aysee MTUACHE KIDOGO.
Sasa kama upo Dar bakia na ya Dar acha kihelehele cha yaliyotokea Sierra Leone maana hujui sababu upo DarWasafi festival nani alkua main act?wewe unayeuliza nkutajie hitsong ya chameleon inyobamba sierra leone hv unafikir kw kutumia nn?mm nipo dar unaniuliza hzo mambo kwel??!alafu nipo mjin hpa hpa bt ukniuliza ngoma gn ya alkba inabmba swez kkujib coz kla mtu na choice yke,ungejiuliza tu shangwe alilopata chameleon adi akaandk maneno machche ya kuwa seeing is believing je km sierra leon hakuna hitsongs zke pale mbn walimpa shngwe sana??
Nna mashaka na ufuatiliaji wako wa burudani za Afrika mashariki,unaendeshwa na chuki mkuu narudia Tena Chuki ni adui wa Haki,Hakuna mpigaji matasha bora kama Diamond hapa Bongo video zake zipo YouTube zimegaa kajionee mwenyewe halafu urudi na kauli za Diamond hata bure hajaziUsikurupuke wewe ushaambiwa hiyo shoo si ya dimondi ilikuwa show ya wanamuziki kibao,mnakuja kudanganya kwamba dimondi kajaza uwanja watu elfu 70 as if yeye ndio aliyeandaa show!!!! Naongelea muktadha wa mada na sidiscuss mtu hapa,nazungumzia si kweli kwamba dimondi alijaza watu elfu 70 huko,huyo dimondi 100% akiandaa show bure uwanja wa taifa hawezi kujaza watu elfu 70!!!
Mji ambao mdingi wangu amezaliwa ila Misijawahi kwenda ila diamond kaenda wakilisha vyemaDiamond usiku wa kuamkia leo kwa masaa ya huko Siera Leone alikuwa na Show kubwa ambayo ticket zote ziliisha na watu 70,000 walijaza uwanja.
Kalale pimbi sawaWe jamaa kama ni wakiume...!! Niishie hapo
Unaumwa mkojoNdio.